Sarro in Kampala

Ken_Sarro

Village Elder
#1
Sa Jana Sarro was in Kampala the land of Ssebo. Nimekua County since last Friday and juzi on Friday my mum requested me I escort her to shop for one two things in Kampala juu ashawai poteza pesa on that journey twice and she highly suspected foul play by money changers at the border. Secondly she wanted to buy very many things but sa hajui machuom za fair pricing. For your information Ugandans are also not taking old Kenyan currency after a circular from CBK. so if you intend to cross carry new currency. Hii kitu ilikua imeleta shida juu new currency in circulation are very much limited. Nkayoa solution aweke pesa mpesa withdraw in Kampala and exchange at the exchange bureaus. The journey was two and from in a day so by 5:30am nlikua Busia border. Only shortcoming nki cross sikua na I.D nlikua nimesahau na ule karau ameniuliza maswali mingi sana but left me with a warning. Ilibidi ni mpange naenda majanji ndo asidai Chai yake. Kuchukua PSV and by 5:50am tusha toka. Ujinga moja na Uganda is that the country is still decades back ama sijui ndo being a shithole. Gari mnakaa watu kama 17 ama 18 yet ni 14 seater wakati Kenya tunakaa hadi only 10. Sijui ni watu kutojua haki yao ama hawana Michuki wa huko. Tuliishia tu poa hadi Jinja then kufika pale Mukono tukaingia kwa Ile jam ya ujinga ya Uganda that is attributed to a small road with too many feeder roads and huge traffic.

By around 9:30 was in the hillside town. It so happened that nlikua nimeketi mbele na dere but hio kiti ya mlango sa kufika nkafungua tu na kukanyaga kwa mzito M7. My mum had a backpack na ile lady handbag sa kushuka nliona kidogo inamtatiza juu zote ziko mkono moja. While waiting for her to alight naona ka kijana kamoja midget hivi who I presume was one of the porters (beba) kalikua na overall ya Orange kanajifanya kumsaidia kushuka but mkono ya left inafungua side pocket ya handbag and fingers swiftly doing the picking. Nkasema kumbe inakuanga hivi? Mara hio kumvuta na kumupasha slap on the right cheek while the back hand did the left cheek. I then asked him "UNAJARIBU NINI?" Swahili is Police and Military language in Uganda and a majority of them are youths so nadhani locals walidhani mimi ni undercover. Wakaniuliza "akolere ki" which loosely translates to amefanya nini, Sarro nkajibu mwivi!. Sa hio kijana ako karibu na mzae fulani amemlima Kofi ime enda shule. Wazae wenzake wana nishow mkube! Mkubee! Which loosely translates to mpige! Mpige!. Vile nlipata go ahead nlimchapa backhand mzuri na sweep aka anguka. Vile aliamka nataka kumlima RKO mathe anakishoutia in my native dialect mwache! Nkasare boy. Boy ni tule tu boy twenye tumekauka kama midget fulani hapa he looked undisturbed and quickly crossed the road to avoid the embarrassment and team building.

After hapo tumeingia mall ya kwanza material ya nguo, mall ya pili maduvet, mall ya Tatu nguo za wamama na mall ya nne shoes. Juu mfuko ilikua chini nkajichukulia bomber jacket kali ya leather. By 1:30pm tushachukua Gari ya Malaba. Wacha tena jam ya kutoka tao ianze. Unalala una amka bado mko kwa Jam. Hadi pale Setta jama ika in a isha na dere aka speedup. By the time nlifika Malaba border was around 6:40 nka cross. Ukirudi Kuna kitu wana flash on your head like a scanner naskia ati ina scan for Ebola but that border is always porous. By 8:30pm nlikua 039 kama jogoo ya boma
 
D

Deleted member 10628

Guest
#2
Majanji kuna ka beach kanaitwa sangalo nlikua member every time nkienda izo sides.

It's good umesema iyo mambo ya currency mpya but I think nikienda new notes zitakua in full circulation.

If unageuza pesa never trust those dustcoat wearing fellows wenye wako customs, kuna equity hapo Busia(u) just before you get to Arubaine ama ile Barclay's iko kwa border or you can as well deal with those Walalos ni wazuri Sana.

Ulipitia malaba mbona na vile from Busitema tu border ni swafi.
 
Ken_Sarro

Village Elder
#3

Mimi Huwa sisumbuani na hio mikora ya boarder. Huwa na exchange kama thao ya fare na kubuy gonja na Novida nkifika mavira. The rest hadi kwa bureau. From Malaba Bungoma is nearer halafu nkienda nlipitia Busia juu Gari ziko reliable.
 
M

Mrs Shosho

Guest
#5
Sa Jana Sarro was in Kampala the land of Ssebo. Nimekua County since last Friday and juzi on Friday my mum requested me I escort her to shop for one two things in Kampala juu ashawai poteza pesa on that journey twice and she highly suspected foul play by money changers at the border. Secondly she wanted to buy very many things but sa hajui machuom za fair pricing. For your information Ugandans are also not taking old Kenyan currency after a circular from CBK. so if you intend to cross carry new currency. Hii kitu ilikua imeleta shida juu new currency in circulation are very much limited. Nkayoa solution aweke pesa mpesa withdraw in Kampala and exchange at the exchange bureaus. The journey was two and from in a day so by 5:30am nlikua Busia border. Only shortcoming nki cross sikua na I.D nlikua nimesahau na ule karau ameniuliza maswali mingi sana but left me with a warning. Ilibidi ni mpange naenda majanji ndo asidai Chai yake. Kuchukua PSV and by 5:50am tusha toka. Ujinga moja na Uganda is that the country is still decades back ama sijui ndo being a shithole. Gari mnakaa watu kama 17 ama 18 yet ni 14 seater wakati Kenya tunakaa hadi only 10. Sijui ni watu kutojua haki yao ama hawana Michuki wa huko. Tuliishia tu poa hadi Jinja then kufika pale Mukono tukaingia kwa Ile jam ya ujinga ya Uganda that is attributed to a small road with too many feeder roads and huge traffic.

By around 9:30 was in the hillside town. It so happened that nlikua nimeketi mbele na dere but hio kiti ya mlango sa kufika nkafungua tu na kukanyaga kwa mzito M7. My mum had a backpack na ile lady handbag sa kushuka nliona kidogo inamtatiza juu zote ziko mkono moja. While waiting for her to alight naona ka kijana kamoja midget hivi who I presume was one of the porters (beba) kalikua na overall ya Orange kanajifanya kumsaidia kushuka but mkono ya left inafungua side pocket ya handbag and fingers swiftly doing the picking. Nkasema kumbe inakuanga hivi? Mara hio kumvuta na kumupasha slap on the right cheek while the back hand did the left cheek. I then asked him "UNAJARIBU NINI?" Swahili is Police and Military language in Uganda and a majority of them are youths so nadhani locals walidhani mimi ni undercover. Wakaniuliza "akolere ki" which loosely translates to amefanya nini, Sarro nkajibu mwivi!. Sa hio kijana ako karibu na mzae fulani amemlima Kofi ime enda shule. Wazae wenzake wana nishow mkube! Mkubee! Which loosely translates to mpige! Mpige!. Vile nlipata go ahead nlimchapa backhand mzuri na sweep aka anguka. Vile aliamka nataka kumlima RKO mathe anakishoutia in my native dialect mwache! Nkasare boy. Boy ni tule tu boy twenye tumekauka kama midget fulani hapa he looked undisturbed and quickly crossed the road to avoid the embarrassment and team building.

After hapo tumeingia mall ya kwanza material ya nguo, mall ya pili maduvet, mall ya Tatu nguo za wamama na mall ya nne shoes. Juu mfuko ilikua chini nkajichukulia bomber jacket kali ya leather. By 1:30pm tushachukua Gari ya Malaba. Wacha tena jam ya kutoka tao ianze. Unalala una amka bado mko kwa Jam. Hadi pale Setta jama ika in a isha na dere aka speedup. By the time nlifika Malaba border was around 6:40 nka cross. Ukirudi Kuna kitu wana flash on your head like a scanner naskia ati ina scan for Ebola but that border is always porous. By 8:30pm nlikua 039 kama jogoo ya boma
Bril' reporting Ken. Ni vizuri tujuange real experiences from on ground reporters.
 
Ken_Sarro

Village Elder
#9
Haukupitia hapo Sofia no man's land upewe busaa top layer? One day is too short for Kla but the city centre was poorly planned and overcrowded.
Nlikua na mzazi na ye hujua am closer to God. Sofia me huona kuna too much peasantry hadi starehe inapotea. On Sunday kama leo Busaa iko 039 mzuri top layer inaitwa beef. Gorogoro soo moja unatoka hapo umeshiba na umelewa. Hapo for a day is because of the objective of the journey.
 
Top