Satan is real

At undisclosed location, @Budspencer wameanza mimi naona nikitupa matembe that empty glass is mine and its tempting me .[ATTACH=full]120756[/ATTACH]

11 Likes

Afande asubuhi uliuizwa mbona unakunywa dawa ya watoto.
Kidogo naona unacheza na building blocks za watoi. Ni nini inaendelea haswa?

28 Likes

amekuwa askari koko

4 Likes

Birthday ya mtoi baba Ochi, I’m being persuaded by @Budspencer nifungue koo .

1 Like

Ahh okay.
Enjoy, and best wishes for the kid.
Chapa tot kadhaa. Minyoo zitaunderstand.

5 Likes

@pamba combined harvester zimekataa kushika mafuta?

[ATTACH=full]120758[/ATTACH]

69 Likes

Hahahaha kali

1 Like

After two weeks of teetotalling nimebackslide na kuingia na kichwa tena. Madawa za @pamba nimemwambia aweke kando

3 Likes

:D:D:D:D:D:D
Shait.
Huyu jamaa ako na mguu mbili za right.
Big toe ndio iko misplaced.

11 Likes

Mwanume ni kuparara hio ingine ni usocialite.

15 Likes

@pamba kama matembe unameza ni za tumbo wachana na pombe

2 Likes

Hapana Chora omera.

2 Likes

hehee straight outa safari boot. :D:D:D

alafu kuna mtu anaonekana kwa reflection ya tv na anakaa kama ameongeza fanta kwa JW yenye iko kwa chupa from red to yello yello

[ATTACH=full]120761[/ATTACH]

22 Likes

:D:D:D wewe ni kama mimi last time mgongo na miguu iliona mafuta ni mamangu akinipaka nikiwa mtoi.

3 Likes

@pamba ni mikora

3 Likes

Wakati wa misa ulisoma hiki kifungu…‘and lead us not into temptation’…?

2 Likes

Pia Yakobo 1: 14…Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. (Wacha kumsingizia saitan Afisa @pamba .

2 Likes

Tukicheza ball tukiwa watoi hungekaribia jamaa ana mguu kama hii.Ata uwe na viatu.

4 Likes

@pamba hiyo TV kubwa hivo iko kwa nyumba ya kukomboa? Maisha ni ghalama .Have noticed unapenda pombe saaana. Steer clear when not feeling well.

1 Like

that is advice from a bad friend. afande pamba maliza dawa pombe hata mwaka ujao bado itakuweko na hutamaliza…

2 Likes