Scammer!

Hii @mouraythee ni kiscammer. Jana kijamaa kimekam kikidai ati kiko na mjamaa anakinda fixed matches. Alidaisha aliwahi win 800k, sasa anataka partners ndo wanunue fixed matches zingine. Akakatazwa na wahenga kama kawa, later on, mhenga @Destro akakam na efidens ya kwamba @mouraythee ni scammer, mouraythee akadelete thread mara that that, na akabadilisha avatar, akasahau hawezi badilisha jina! Sasa bado mbwa koko anatangatanga kijiji kikitafta watu wa kuscam, @Deorro so upress that button, ndo arudi na handle mpya, Sande sana

weka effidensi and hasandi sana

Too bad didn’t take any screenshots, thread ilimalaysia technique ingine sikuelewa, sande sana kwa likes elfu kumi

Scammer mkubwa huyo na kizungu mingi hapa,jamaa kuwa cornered akaanza matusi.@mouraythee tunakujua na tumekuonea 18!

Can’t relate na betting manenos,tunamalizana hapo hapo tukipatana ama namna gani wakenya?

Hiyo Kizungu yake ndo ilimuuza kwanza

What i wonder is, if he wins 800k, why not use that money to buy more matches? And why would someone sell fixed matches instead of maximising winnings?

Wacha atafute kitunguu ,kuna wakora wengi hapa .

Another luo from kerinyaga

Uyo msee ni fala sana.Scammer mkubwa sana.Alichengwa akadilete thread alafu akaniignore nisikuwe nikiona izo maufala zake

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/south-american-games.44006/

Haha…watu tulieni. Mlikimbia kupeana pesa zenu sasa mwaimba tu kunihusu. @Destro na @Jimit , hiyo link ndio mwanzo wa masaibu yenu.
Na kizungu changu chawauma sana? Instead of investing in scammers invest in some classes. And lick your wounds slowly. Even If you @ me , the scammer won’t refund you.

Mwizi weka tyre…told you hapa wajanja ni wengi try that gig elsewhere.

@Jimit, umesahau kusema @Destro aliconfess to spending a fortune and even shared with you the scam info. Mkagongwa pamoja. Mazuzu nyinyi.Hii uchungu mko nayo is because I didn’t sink with you? I didn’t change the avatar coz of y’all, you overrate yourself. Niko papa hapa. Link iko hapo. Go vent to the creator of that thread.
Haha. Dumbasses

Wajanja ama wajinga. Watu walipeana mishahara kwa matapeli alafu sasa wananitajataja ili kutiliza vidonda.

Kama huwa unabuy fixed matches pia wewe ni fala but huyo jamaa huwa na matusi na bitterness sana in all his posts nikama he was raped by his uncle akiwa mdogo

My sources are legit. Someone else uses the legit screenshots to scam the dimwits of this world. How is that my fault. Ujinga ni kipawa. Mkimaliza kuomboleza, mnipate kwa threads za sex and relationships niwape vidokezo viwili vitatu.

Anyway fungua roho brathe,what was the determined end of this gig?tuchanue pia ndio tuwe radar.

Acheni kuderail thread na matusi,some decorum and civility wont hurt anyone.

Yeap i lost a few thousands but betin league paid well.Sikai ww unac

Wewe ni scammer nugu ii…I lost a few thousands but betin league paid handsomely[ATTACH=full]97575[/ATTACH]weka yako yenye umewahi win ata mia tatu

Do you think if I was a scammer I’d show my face on these streets after I scammed any villager? I wanted to test out that deal to see if its legit. @Destro was interested, and we were planning to split the risk. He got greedy, went silent and went it alone. Kumbe my guardian angels were sparing me losses. Sasa hizi machungu unaona hapa, zilitoka hapo. I have made money from a legit dealer…the 800k you hear being mentioned here. And more. But that’s water under the bridge now. That’s why I pulled down my other thread. I was trying to help then things turned nasty.