Scrambled channels

Naskia kuna vile mtu anaweza unscramble izo channels. Saidieni pris.

Explain, za zuku za dstv za startimes za safaricom box za bamba za go TV?

Za hotpoint decoder. Inashika channels mob bt karibu half ni scrambled

ya gotv kuna venye lakini last week walifunga port karibu zote.

Pole.

1 Like

@Luther12 hakuna vile?

naeza kuinbox procedure kama utatoboa apo kwengine ujiokolee

2 Likes

si ufanye ivo bana. al be so grateful

Hizi za T2 hamna ujanja. I guess it’s because we’re comfortable in S/S2.

check inbox

Nimeipata. thanx a mill

poa
apo kwingine heheheh…

Unaweza niokolea na ya Zuku?

zii sina iza

iyo method only works on gotv?

Ni inbox PIA Mimi on the same

Ni inbox pia mm

ata mimi

Hata pia mimi nitumiwe. Jana the lady who frequents my house amekwamilia kodi kwangu alafu akaweka porno. Nimpatie hii yangu sijalipa mwaka mzima

@mwaichez tuma kwa inbox nijaribu