Scratch.

Wakuu, juzi kuna mtoi amenichorea X kwa boot na kitu sharp. How do I get rid of it? Any simple remedy?

Lamba mara tatu itapotea!

If scratch superficial try rubbing component…

Lamba mamako pia…mbwa!

Kwa net naona toothpaste can do some wonders…will give a try bro.

Huyo hakuna kitu amefanya yangu ya black waliandika majina zao na zile a e i o u,nimefanya buffing mara mbili ndio sasa zimeanza kuisha

Pole bro, yangu nilisimama kupima pumzi, saw the kids at the back of my car but never bothered what they were doing! Kufika kejani nikitoa mgomba wa ndizi naona X kama ile ya Kenha. The kids ni wa onwer wa air pump, kumshow anasema hio scratch ni ya kitambo…wtf!

Nilichapa kamoja kofi ya sikio kakajikojolea na hakaliii.Hutuo.twingine tukakimbia…Nikagurumisha gari nikaenda zangu

Mamako bado ana peddle wares pale sabina joy?mwambie nime miss hiyo ikuss.

Ghasia you just wanted to remind us that you bought a rickety jalopy some few months ago…wanaume wanaendesha chuma nzito na hawasumbui…msenge mwalimu jini wewe!

Hehe, leo wacha nikuwache kijana…lala salama.

Purchase these:

  1. sand paper there are two buffing grades that aren’t abrasive on paints.
    2.rubbing compound genuine turtle wax not hizi imbo zinauzwa Kenyan supermarkets. thyre all fake fake!
    another option is an industrial polish called G3 -most garages use these in Kenya to lie to naïve folks gari imepigwa rangi
    G3 can be found in industrial area at a company called SABMIZ Enterprises. they make it as you wait.
  2. buy 2 proper buffing cloths

clean the surface well with water and dry. apply the above polish with the softer sand paper in circular motion and let to dry .
buff out!
can also be done to fogged lamps without use of sand paper. this is more permanent than hizi spray some dudes walk around with that causes worse damage to the top layer of the headlights.
also glass with hard water stains.
repeat a few times with normal cloth for a perfect shine.
NB:/= kindly check the level of the scratch as some might be too deep but with cars that have paint sealant/ceramic coating it can be removed without a respray.

:D:D:D