Search ultimate ManCave TV...Part 1

Status
Not open for further replies.

rollout

Village Elder
#1
Nimefika nyumbani salama salmin kutoka SLUM,ingawa naskia tumbo ikiguruma suspiciously after my questionable sunday lunch - thank you for your well wishes..
Now i was flipping over the site when i came across this thread..
https://www.kenyatalk.com/index.php...ltimate-tv-lg55uh850v-review-long-post.37347/
Mara hio hio nimekimbia mpaka www.souq.com kuwekelea order ili hio TV iletwe kama imekalia kiti ya Qatar airways first class..Kufika pale nimepigwa na kudhulumiwa na BUTWAA,it costs 4999 AED up from 3999 AED.
screenshot-uae.souq.com 2017-01-08 19-52-53.png
@imei2012 @mayekeke @incognitus hapa kunaendaje?Saidia Birrionea kununua hii kitu niweke mancave yangu ya SLUM.I hope haitaibiwa na shiny eyed slumdwellers..
 
Last edited:

pamba

Village Sponsor
#13
Nimefika nyumbani salama salmin kutoka SLUM,ingawa naskia tumbo ikiguruma suspiciously after my questionable sunday lunch - thank you for your well wishes..
Now i was flipping over the site when i came across this thread..
https://www.kenyatalk.com/index.php...ltimate-tv-lg55uh850v-review-long-post.37347/
Mara hio hio nimekimbia mpaka www.souq.com kuwekelea order ili hio TV iletwe kama imekalia kiti ya Qatar airways first class..Kufika pale nimepigwa na kudhulumiwa na BUTWAA,it costs 4999 AED up from 3999 AED.
View attachment 77516
@imei2012 @mayekeke @incognitus hapa kunaendaje?Saidia Birrionea kununua hii kitu niweke mancave yangu ya SLUM.I hope haitaibiwa na shiny eyed slumdwellers..
Birrionare nilikuona mahali ama wacha tu
 
imei2012

Village Elder
#14

hebu search the whole site utaipata in different shops filter then choose the one with the lowest price
 
snapdragon

Village Elder
#20
Ive seen samsung 65inch curved somewhere na sikuona kama iko na chida yoyote in any corners.
Na btw si tv inakaanga at the center if living room why the fuk do u want to watch it at 90° angle
 
Status
Not open for further replies.