Senegal vs tz

Mane ako bench

Hapa Bongolalas watachuna.

Senegal will win the cup, TZ watanyoroshwa leo

Simuoni kwa lineup ata bench. Hako drafted hii game.

Bench kwa stands

Huyu keeper was tz anafungwa near post aje

Suspended, ni poa angevunjwa leo

True!! Tz wanacheza kama…ata huwezi define lakini hiyo O…inafinywa sana

Juju solo ndio inaweza waokoa hao

What a goal

Like a fcuking gunshot!

tz have 0 shot on target…akina mane wako na 10 shots on target

Wabongo hili ngome lime washinda. Hata shoti moja hawana. Ole wao. Wakenya tutawatia.

We have 3 serious points to chase after here… Senegal namalisa jirani wetu

Wabongo ni wavivu hata kukimbia ni shida. Wanaambia wasenegali naomba nikufunge bao mwanangu.

Mnaongea na nyinyi ndio next.Ile ayubu mtaonyeshwa

@T255 [ATTACH=full]244280[/ATTACH]

Walipigwa kama burukenge :smiley:

:smiley: