Sex and nyonyo

Status
Not open for further replies.

ninyedawa

Senior Villager
#1
Mimi niko na sinda, usiku kamjuniour na mama yake wanapigana live live kwa kitanda, huyu mmoja anataka nyonyo na uyu mwingine hataki kumpatia coz ataki zianguke, na kamjamaa kamebakisha 1 year kawachane na hii stori ya nyonyo....sasa mimi nauliza wazee wa kijiji, niingililie ama nitie zii????
 
Nameberry1

Village Elder
#3

Hazianguki juu ya mtoto kunyonya. Anyonyeshe baby
Na zikianguka shida iko??
 
Bus

Village Elder
#15
Mimi niko na sinda, usiku kamjuniour na mama yake wanapigana live live kwa kitanda, huyu mmoja anataka nyonyo na uyu mwingine hataki kumpatia coz ataki zianguke, na kamjamaa kamebakisha 1 year kawachane na hii stori ya nyonyo....sasa mimi nauliza wazee wa kijiji, niingililie ama nitie zii????
Anaweza acha lakini ujitayarishe kukimbia hosi kila wakati kwa shida hapa na pale, utayarishe pesa za kulipa academy na tuition kwa wingi, halafu later in life uwe na doh za bail, fines, na zakumtembelea kamiti.
 
L

Luther12

Guest
#17

I was just about to ask whether they know the benefits of breastfeeding an infant.
 
Status
Not open for further replies.

Top