sgr ticketing headaches

Kawaida ya ndugu mukuna by 0630hrs aliamka na nikatoka by 0635hrs kuelekea miritini. Jam as usual by 0800hrs nilikua hapo lakini tickets za Friday hakukuwa.
Hio upuss sifanyi tena. Mash cool all Ze way
[ATTACH=full]116075[/ATTACH]

uliamka 6:30 na 5 minutes later ushatoka, yaani hauogangi for real??:eek::eek::eek::eek::eek:

Huwa naoga once a month. Nilioga juzi tu mwezi bado mbali

Hata meno hausugui??? Ama ulikatazwa tiketi coz ya uchokosh…

Tulikua wengine sana

Hehehe, masaibu, hii sgr watu wasahau tu hadi ile siku kenya railways wataamua kufanya online ticketing, hii ni upuss. Juzi niliskia story ya dame aligongwa 1k akiambiwa tickets unapata kwa ma broker, akatuma pesa, bado anagojea ticket

@mukuna, I hope you succeeded in your pursuit in coast…lakini please kuoga daily ni kitu poa.Sasa unafikiria hule abiria atakaa kando yako kwa mash hizo masaa zote atahisi aje?:frowning:

:smiley: Nitampea number atume kakitu tukifika mtito ninunue Nivea aqua cool

:D:D:D

:D:D:D:D:D:D That is just diabolical! hahah.

ungebook na mpesa…inawork lakini unapiga simu sana before iingie

Uko na Ile ka pictorial ilikua inaonyesha steps to follow?

hivi ndivo kunaenda, you should know people.
[ATTACH=full]116088[/ATTACH]
ticket ungepata tu ata kaa niya kesho

tumua lube itaingia haraka

Wacha nirudi huko kesho ama una konekshen?

tuma kcr 50 only

http://kenyayote.com/wp-content/uploads/2017/06/How-To-Book-SGR-Madaraka-Express-Train-ticket-online-Via-Mpesa-Paybill-Number-Get-boarding-pass.png

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSiT2VtUyPLtKl49ZFev2WqCHQHV6TOZDCxI6Q-dVlgtOgaHELt-Q
Sema YULE

[ATTACH=full]116093[/ATTACH]
kcr aonge wach

pole sana bro, kaa macho ukigojea the next kcr quiz kesho