Shabiki Jackpots ni za ukweli ama scam tu?

Kabla hii story, tuanze hapa

Kuna betting company ingie hapa wanaoffer daily bets. Mimi boychild nikaenda nikabet jackpot ya 250k. Games zote zikaingina, nikakaa nikismile pesa iingine. Pwaaa! You have won 500ksh! Wat! Nikaulizia why 500ksh nikaambiwa io 250k imekuwa shared among winners. So divide 500ksh with 250,000Ksh - how many winners are those?

Sasa twende shabiki, do they disclose the names of the winners ama tu ni kwambia people how many people have won? Is it a scam too?

I think government should investigate this betting companies offering jackpots

For now, sportpesa and betin gives me good cash though and have never seen that ukora!!!

Umekula lunch nini?

Kwani unataka kumununulia lunch na pilsner ndio mufanye dhambi?

Shindweeeeee

Hebu nifanyie hiyo hesabu ya good cash unapatanga from the two.

Jackpot bonuses apart from zile napataga daily na bets

Hio shared jackpot ni betway. Pure scam.

hizo sasa, nifanyie hiyo hesabu ya hiyo good cash yenye hupata daily.

Pesa yangu unataka kuifanyia nini?

I 0% need your cash villager. I am just asking about the profits you daily make, something like if I put kama 1k, i can make 500 or 100 soo. stuff like that. Most people here cry about loosing. I am just asking about your winning trick chief.

shabiki and supa 5, tatua 3 all those are scams, zinakamua kila mtu including cucus and village folks who have no clue abt sports coz they are told it;s jst auto, no need of knowing football or internet. The govt should target those instead of SportMbesha…coz sportmbesha ata ukilose unaona kazi yake in transforming kenyan sports plus it’s mostly those who understand it do betting as it does not target gullible citizens.

Hii ni kama ile lottery ya manyumba ambayo inakam hivi karibuni :D:D:D… Wewe utakatwa doo kila mwezi, but draw ya lottery ndio utapewa hao

what

@gashwin kuja uambie watu vile betting ni mbaya