Shamba la Wanyama 1954 (George Orwel) Katuni

Wale kabla ya 1964 tulisoma hiki kitabu Middle School. Kilipigwa marufuku na Baba wa Taifa

https://www.youtube.com/watch?v=kq_agNNGcA4

https://www.youtube.com/watch?v=kF0ipHQsmCA

Linganisha na nguruwe wetu

Tatizo ni nini mpaka kipigwe marufuku?

Cc: @Mahondaw

Viongozi wa CCM ni hakika manguruwe. Walikuwa waoga wa uasi kwa mienendo isiyoakisi matarajio ya uhuru. 1964 kulikuwa na jaribio la kwanza la kupindua serikali kutokana na watu kutokuridhika na mweĺekeo wa serikali.

Duuuuuuu