Sheng

Warembo na Watanashati … kama walivyo sema ya kwamba kuuliza sio ujinga. ni tatulie i hili,
’ Rieng ’ … Kulingana na context nmeskiza na understand yamaanisha ’ trend '.
Ndio au sio.

Ukijibu weza tuelimisha neno lingine la sheng wajua limechipuka ivi karibuni