Sheppart Omosh.

@Makonika is omosh okay ama ni huyu ameshambuliwa na @Bee Colony ?:D:D
[ATTACH=full]248574[/ATTACH]

:meffi::meffi:

Majamaa wa human Rights wafike huko , as mans best friend a dog is human

Shepart wangu alikufa Jana.

Shait.
Weka pin nitume paramedics.

Numefungia till namba tuchange watu watume hapa

0722478057

Yeye pia alidungwa dungwa na njuki

Naona jina kwa truecaller ni James Kimani, how now

Alikataa food since sato, got weak and akaanza kuhara damu.

Pole sana chief. Alizeeka akakufa ama what happened?

Hio ni line yake anatumia I.D ya bratha ya khupipi. Hii line ndio ya covert operations.

:smiley: Omwami rusha kitu

Mimi Ni okuyu

MIRIP

Weka bank account nitume RTGS.

Buda boss Mattress Bank haina account number …