Shida Tupu

[ATTACH=full]151607[/ATTACH]
@introvert Hebu come, what would make a chassis just collapse like that? Are there warning signs and sounds that warn you of an impending catastrophe? Unaona kaa hii direct injection Isuzu itarudi kwa rd au ni saa ya kuikatakata?

:D:Dimejikunja kama mtu akiguzwa na ice cube kwa mgongo

Uza kama Scrap metal.

:D:D:D
Chassis haiwezi fail mara moja hivyo.
It was definitely gradual.
Inaweza rudi tu.
Karibu nijipate kwa shida kama hiyo.
Nilisikia vibrations nikaanza na ball joints na bearings na miguu.
Kumbe chassis imekatika hapo kwa steering box.
Shait.

Now that’s a bad day!

Hii ni kama ilipigwa na JDAM

Hizi ma TX huwa sturdy sana

Cracked section nilireinforce na leaf spring.
Good for another 40 years.
[ATTACH=full]151614[/ATTACH]

@Meria Mata, wacha kunitajataja ovyo ovyo

:D:D:Dsasa hiyo ata mechanic anaanza wapi… hiyo uza jua kali

Chunga vile unaongelesha Chief

@Ice_Cube unaitwa…kam kiasi

So, what you are saying is a driver shouldn’t ignore any strange sound or vibration, ukiskia Mazda carol haigurumi kaa kawaida kimbia kwa Introkanika.
BTW, why does a fan belt scream and whistle in the morning for like a minute alafu inanyamaza? I hate that kasound.

Exactly.
Hiyo belt iko loose au imeanza kuchapa.

Santa. Nimesoma kitu leo.

@Ice_Cube kazi yako ni kushika wanaume mgongo?

ng’ombe ya Matuu niwache

Nimeona KFC imefika Embakasi.
Sasa ma slay queen wa huko wako level moja na wa Thika road.

Mathayo uko nyuma sana, KFC ilifika before Christmas

Uber wamepoteza biz ya kupeleka slay queens kukula shiken on sponsors account.

:D:D:D:D:D