Shida yetu iko huku machinani

Wadau hapa hawataki kusikia nikisema President na Deputy wake ndio wezi numero uno.
Sasa wananiambia nioge nirudi Nairobi hawataki kusikia maoni yangu.
Kwa hivyo wenye mnasema Ruto will never be president think again.Niko hapa Kiamunyi

The ordinary Kenyan is just a baboon. Juzi nilikuwa na cousin mwingine wangu na dame fulani. Mimi na huyo dame tukaanza kuteta vile leaders wanaiba na vile tax imepanda. Huyo jamaa alituangalia akatuuliza, " ni ngapi yenu imeibiwa?" Haki I felt like kumuita jina mbaya sana.

Uko na namba ya Huyo dem?

Watu wa mashinani wakiambia mtu mwenye ametoka Nyairobi aoge, ujue kuna shida kubwa mahali.

:D:D:D:D:D
Shait.

Hio ni contamination ya Gioto imeharibu watu ya kiamunyi akili. To all those singing revolution songs mtangoja sana.

Na hii kelele yote we hupiga hapa huwezi patia jamaa dress down on a point by point basis? How cost of living escalates na ye na upumbavu wake anaona iko sawa. Opening line should be kama hujui ni aje uliza uambiwe, wacha kiherehere.

Next time namwekelea Kofi!

true… with the kind of thinking of hoi poloi kenyan getting anything better than uhuruto is a dream

The Kenyan hoi poloi are the most politically ignorant and what is annoying is that they are the ones that usually need the govt the most.
Someone will comfortably vote for a thug, na bei ya unga ikipanda na 20shs he will be the first to cry how difficult life is. shouldn’t such kind of a person be the most politically informed??

But hata kama, what are the voting patterns za ‘middle class’ versus za ‘hoi polloi’ hii nchi? Tofauti ni watu wa jiji huconcort better reasons to vote on a tribal basis.

Chura ni chura tu.

na wewe ruffneck wacha kiherehera,cost of living ilianza kupanda kitambo,nikiwa mtoi 5bob ulikuwa unajikamatia kiloaf na maziwa ya packet

Nugu tulikuwa shambani bwana…najua wewe pana tambua maji kama ni wewe hawangekuambia uoge

Mimi ni wa Jana na juzi tu tulikua tuna nunua sukari kilo 50. Leo ati 120.

Mi husema hii kulalamika yote sisi hufanya inaishia hapa kwa mtandao tu.

Take for instance the huduma number. A number of issues have been raised in social media which in my opinion are valid but, as we know the government’s not been able to clarify. Enda kwa ground. Wananchi are lining up to be registered in their numbers without a care.

Someone’s suggested that when you meet an ordinary “ignorant and idiotic” kenyan, you try to make em see the light. In reality what comes out of their mouths makes you wanna slap them so, Inabidi unyamaze tu.

Now this kind makes up the majority of the kenyan electorate and until that day the situation changes to when the straight thinking make up the majority, we’ll continue to be doomed.

kwanza hiyo huduma number inakasirisha sana, we ask questions the govt does not seem to care.
Nyinyi jiandikishe,

Eeh

Leta hapa tukague