shift plan

nimesoma hekaya ya villager fulani hapa vile aliteswa akiwa attacho na nikaona yeye hakuna kitu alipitia wacha niwapee hekaya vile kulienda nikipata job yangu ya kwanza.

hii mwaka huko feb kuna vile niliwachapia niliwai job flani ya customer care in some company along mombasa road. nilikuwa nimefurahi juu enyewe nilikuwa nimetrek vibaya sana bila mafanikio. job ilikuwa inalipa 20k but ukitoa taxes (paye 1k, nhif 800, nssf 200) nilikuwa nabaki na 18k ukitoa expenses (fare, mandazi ya break na lunch) nilikuwa nabaki na roughly kitu 13k which haikuwa dooh mbaya. tukiingia tuliambiwa job ni monday to friday 8-5 pm na tulikuwa tunafaa kucall wasee 300 per day na kusort majina thao per day per group (kila group ilikuwa na wasee wawili so individually ulikuwa unafaa ucall wasee 150 na usort wasee 500) ufala ni ati tulikuwa tunashare phone yaani campuni kubwa kama hio hawawezi nunua ata phone. wifi nayo ilikuwa 24/7. Ilikuwa stressing but niling’ang’ana most of the time hatukuwa tunafikisha target ulikuwa unapata tunacall wasee 210 combined na tunasort majina 650 combined. head of customer care (alikuwa akiitwa Achieng’) alikuwa akitupea pressure manze. wiki ya pili wakaongezea madame wawili tukakuwa wasee 12, dame mmoja alikuwa Susan na mwingine alikuwa akiitwa Rita. in general customer care inakuanga ni job ya madame coz madame walikuwa 9 na sisi maboy tulikuwa 3 pekee. so mimi nikaambiwa nikae na Susan nimwonyeshe vile kazi inafanywa Ritah naye alipewa mtu wake wa kumuonyesha vile job hufanywa.

Unbeknown to us is that Susan was Achieng’s cousin and Rita was the sister of the director’s wife. so sometimes nilikuwa nikichukua pause kiasi naingia fb kiasi, nachat na kunguru WhatsApp na nasafisha mecho kiasi huku ktalk. so Susan alikuwa akicheki vitu nafanya anaenda anashow Achieng’. so kuna sunday nilivutia Susan nikamshow kuna venye sijifeel kuamkia job wacha nichoche Achieng’ niliishia ocha ndae yenye tuliishia nayo ilichapa. akanishow ni sawa. i called her and told her the same Achieng’ akanishow vile mi hukuanga joker kwa job na yeye huanga hakubali vitu kama hizo. kumbe that bitch Susan had told her everything venye nilikuwa nasema nachochana. so monday sikuenda job. tuesday (3rd week of feb) ngware nikaishia job kama kawa tukadunga job tu vizuri tukaenda lunch place flani hapo food iliwa cheap ukiwa na 50 umekula tu vizuri ukashiba. kutoka lunch kuingia ofisi kitu 3 apo tukaitwa meeting. kuenda meeting hapo ndo nilijua enyewe ni kunoma. nakushow Achieng’ alianza kukemea wasee saa hio naongea matope mpaka nikashtuka sana.
“nyinyi mnaona ni kama huku ni kwenu mnaeza fanya vile mnataka. hapa hakuna girlfriends yako. kazi nayo mtafanya mpende msipende. hatubembelezi mtu hakuna mtoto hapa. kama hutaki kazi mlango ndo iyo enda nyumbani hiyo mchezo mko nayo hatutaki.” kidogo kidogo ameanza kusema vitu utendeka hapo. kulikuanga na boyz flani mzae ako miaka 39 alikuwa msee matei na mafuacka alikuanga na runx flani hapo inachuna ile mbaya. alikuanga anakamingi kama ako cloud zero akinuka tei na fuaka huyo msee alikuwa ligi yake. alikuwanga ni msee mjanja hivi msee madeal na alikuwa anaongea sheng’ ingine conc hadi kama wewe ni wa D hautarada walai. Achieng’ alianza kama amemkemea but hakumtaja jina lakini tulijua alikuwa anamaanisha yeye
“kuna wengine wenu wanakuja kazi kama wamelewa wananuka pombe na sigara tafadhali pombe zako ziachie huko kwa bar usikuje kunukishia watu hapa”. kumaliza hapo akaanza kuniingilia mimi manze
“na kina wengine ni wajinga sana mtu anakuja huku kutumia WiFi ya kampuni kuwatch porn, kuona wanawake wako uchi na kuongea na girlfriends wake. na wengine pia ni waongo mtu anadanganya ati vile alienda nyumbani (ocha) ati gari ikaharibika na yeye alikuwa nyumbani (mjini) akilala. nisikupate chezeni na mimi tu”. Alimaliza hivo nikaangalia Susan saa hio anajifanya hajui nini inaendelea nikaona huyu ni mtu mjinga sana walai.

kidogo kidogo HR alikuwa akiitwa Wanjiru akaingilia manze
“nyinyi hamnijui nyinyi msione nimetulia mkaona mi ni mzuri mimi ntakufuta kazi cheza tu. we tusipatane tu juu ya indiscipline cases. kwanza hao watu wa kuwatch porn na wale wa kulewa chungeni laini zenu sana” (input all that with a kikuyu accent). tukaambiwa tuende kutoka hapo tulirudi job nikaambia assistant head of department wa customer care alikuwa akiitwa Mary anibadlishe anipee mtu mwingine juu huyu mimi siezi kaa na yeye. luckily Mary alikuwa reasonable na akanipea mtu mwingine ikabaki Susan amepewa Rita wakajipee udaku huko. ilibaki hadi hao wawili wamechujwa WhatsApp group yenye tulikuwa tumetengeneza coz hao wangeenda waseme vitu tulikuwa tunaongelelea. kesho yake tukapewa notification ati wamechange timetable sasa wasee watakuwa wanadunga job kutoka 7-7 manze izo ni 12 hours umekalia kiti manze yaani umespenda half of your day umekalia kiti uko nyuma ya computer na isitoshe itakuwa in shifts na kuna siku tutakuwa tunaenda job night shift. tf! hii sasa ni story gani tena. hio shift plan kitu ilikuwa inanikatsia nayo ni ati ilikuwa ina interfere na wikendi zangu unapata kuna form nimeitiwa mahali na sasa juu night shift nafaa kuwa job inabaki nimechorea form. wasee waliteta sana juu ya hio story tukaambiwa kama hutaki job unaeza enda home hulazimishwi. mi nilikuwa nichoree lakini juu tayari nime incur expenses kibao nikaona wacha nidunge tu. hakuna msee alichorea job but wasee hawakubambika na iyo story. hapo sasa favourism ikaanza kuingia manze. kulikuwa na madame watatu walikuwa na watoi hao waliambiwa watakuwa wanafuata shift ya kitambo (Mon-Fri, 8-5). tulikuwa tukiishia shift siku tatu tunapimzika siku mbili but hiyi form ilikuwa inaniboo sana. alafu tena Susan na Rita wao pia walikuwa wanafuata shift plan ya kitambo kama hao madame walikuwa na watoi ikabaki sisi ndo tunafuate hii shift mpya na ati bado tutalipwa the same. na mimi najua according to labour laws za kenya employees wote kwa kampuni wako equal. kuanza huyu Susan alikuwa na mdaku ni kama angeongezewa mshahara yaani unaenda kusema vile mi huwatch porn ni kama WiFi ni yenu na ni ya kampuni na hata huyo cousin yako ni employee tu ni ile yeye akona position biggy kuniliko. kuanza Rita alikuanga anaingianga 10 (2 hours late) na anatoka 3 (2 hours early). kazi yake ilikuwa tu ni kuingia ofisi anaanza kutumia wifi ya kampuni kwa phone yake akifacebook, akiWhatsApp, akitweet, aki instagram na aki snapchat the whole day. akimaliza hizo anaanza kuongea na hao machali wake kwa phone na sauti ingine loud ni kama anataka uskie iyo convo saa hio anacheka ni kama hyena imepata mzigo ya antelope. alafu alikuwa na convo zingine za ufala akiongea ngoso ingine bogus sana ati
“noo! imagine that guy ako soo chini”.
“that Eric dude is a broker imagine haezi nilipia fare ya gari kutoka donnie hadi tao”, not knowing kuna difference kati ya broker na broke shenzi sana.

Wacha nikunywe chai ntakam kumalizia hekaya

sasa hivi are you broker after quiting the job?

forrowing

I was waiting for the part where you nyanduad Rita or Susan.

yaani hii story yote hakuna kunyanduana. i thought ulinyandua Susan revenge

10 green emojis

I thought utakulia hao kunguru wawili kwa offe

Bana.
Rather disappointed.

Safaricom and its sub contracted agencies ndio huwa na hii maneno

[ATTACH=full]169546[/ATTACH]

ata mimi

Enyewe ata mi nilikuwa nangoja…wacha tu.

Pole kwa masaibu.

Boss. Kunywa chai. Hata kama ni mbili usiwe na mbio kukam

Haya nangoja umalize

kwani uliamua kupatia ata akina Susan chai…

Wasee wamezoea hekaya za aromat sana. Reality hits you hard mofos :D:D

:smiley: hii hata salt haina

Pole kwa masaibu. Hii kampuni ni kencall ama HCC?

naona pia wewe ushaipitia hayo…