Enyewe nliblunder big time, kubuy phone inajiita X-TIGI, ile stigmatization nmeface. Weh! Imebidi tu nmerudi to Cubot, at least its respected.
Lakini X-Tigi ni phone ya ufala. Phone imekuja tu venye iko, akuna feature ingine kali yoyote, OK, like Infinix unapata at iko na camera poa, na tecno pia, then screens ni FHD. X-Tigi imekuja tu hivyo, ata akuna skin waliadd on stock android. Beta wanadai ni 4800 mAh na hailast ata day moja.Screen size ni 6" sasa hapa ndo unapata ile impression ya “mwili kubwa but akili ndogo” alafu kuaribu mambo yote iko na 1 GB RAM!!! Billionaires tulieni, naelewa zenyu ni za 6 GB. Maze enyewe phones zingine ni strictly for peasants.
Alafu phone haiaccess 3G in remote areas, iko za E. Mi huhisi mwili inadungwa na shindano nikiona hapo kwa bars imebadilika ikawa E. Alafu 2017 phone zenye ziko na internal storage za 16GB zinastahili zipelekwe museum. Tusiongee kuhusu processor, mnigga nitahustle hadi nipocket Xiaomi. Mediatek ntaachia kina @Koolibah.
In short, X-Tigi ni company ha kuunda power bank na weapons. Sio smart phones. But nliswear sitawahi nunua kitu pia inajiita Infinix au Tecno
Sandesana
Peasant unataka tukuhurumie…apana tambua peasant. Hiyo simu tecno, cubot na infinix ni pasi. Kama hakuna makaa pia unaweza tumia kutengeneza popcorn ama kupika njugu karanga…