Size 13 utapata House of Leather just off Ole Dume Road kwa ile building iko na Uptown Grill na Transfomers Chapel. Utapata size 45 to 48 for a limited selection na in my opinion zimebeat kiasi. Plus ni 12k.
Jaribu pia jumia niliona wako na pair kadhaa.
Pia Clarks store.
For sports/canvas/skate shoes, jaribu any brand name store e.g Adidas ama Nike ama Sketchers. Ama ujaribu mtumba but siku hizi ni ngumu kupata.
I find it easier kushop online juu kuna variety na cost pia ni mzuri.
Pia kuna wasee tao hushonesha viatu za jeans za okay quality regardless of size.