should i stake 2k

[ATTACH=full]65584[/ATTACH]

Hii slip iko Tu sawa. Ongezea 3K ukule pesa mufti.

Sasawa Opiata opiata

io simu itazima kabla ueke bet

Saa we ni simu unaniambia ama nibet unafaa kunishow vile niweke? Unaona bet iko sawa?

mimi bado na asses io ya cska na monaco. zingine ziko sarama

Look at the tables before making a bet, ukiona team iko no.2 inacheza vs no. 3 jua no. 3 watacheza hio mechi na fujo na haijalishi kama wako away

Ni matako ulipenda wewe

CSKA vs Monaco, x, 1 ht/ft