Si hawa watoi ujipeana kiujinga

Sasa ona huyu goes on FB and flaunts these cash alafu says Leo(now jana Sato) atachafua Reggae & going by the replies its true alichafua reggae. Pple are sending replies wakim thank!!
U don’t need 2 be a rocket scientist to know where that money came from. Police are smiling right now…dont ask me why!!
[ATTACH=full]2037[/ATTACH]

:eek: Thats a lot of cash there

ipi ndio refu??

mkono ya law ama ya wezi??

1 Like

Wameibia mtu banae…kijana mwenyewe anaishi jeri …ametoa wapi hii pesa ?

Zote ni ndefu!!

Alafu ile kitu inafanya hawa maboy kupost such photos for attn is madems. The replies in such posts are mostly frm Ghetto chics asking 2 be treated or bought for Airtime. 1 or 2 of his thugs wud chip in and advice nigga to play safe nd pull down the post…lakini mjinga bcoz of attn frm chics does nt heed the advice given

@This is Gold madame wengiwa ghetto huchananyishwa na mapesa… uyu boy ata akiomba kinembe hata kosa juu dame anajua kijanaa ako na pesaotherwise kama ni broke atamkulisha tu mafi…

lakini hii life hainanga utamu juu

  1. anatafutwa na ma.sansee
  2. jeshi zingine zinataka hiyo pesa pia kwa hivyo life yake iko kwa shida pia

only way ni kuchange ama kuokoka as the pastors says it

1 Like

eish … that’s like half a million right there…! What a waste!

kanguraaa…hio kipii inapitigana wpi?

Labda ni yake ameuza kitu akasema wacha aringe juu it hardly comes by in lumpsum lie that. Lakini kuringa na manoti inanikalianga fake. Kwani si anybody can decide to do that shit. If I am buying a car fo a meter si naweza toa pesa ya loan kwa bank ni pose nayo nikipigwa picha na wife kwanza an gf alafu next week nimesota nahustle ya kujaza tank na kulipa loan. Rich people dont have to do that shit.

1 Like

lakini hizi ma,ndovu zote zinaweza kua zilitoka reggae night moja?!?!

Budah, look at that boy well well. Look at the rings on his fingers. Does he look like the type wakupewa loan?

2 Likes

Look at the warnings / Advices he is getting after posting this photo…Read btwn the lines

[ATTACH=full]2040[/ATTACH]

2 Likes

Hakai real lakini the money could still be his. Msee anapost picha za pesa namna hiyo si lazma ni wannabe anavaa mabling hapa na pale? The money doesnt mean he is successful. labda amekata kashamba ama kaploti ame-inherit.

@Ingia stop supporting this guy, clearly ni mwizi sugu. It’s nearly impossible to flaunt your hard earned cash in that manner nor spend it all kwa reggae night

1 Like

stop playing the devil’s advocate, we all know what is going on here, it all starts this was in one month utasikia, message za ujinga kama " plaease tell me its not true!" ama " buda hujaenda siamini umeenda" I always laugh at those replies

1 Like

huyu yut anajiita “Idris Hamid wa Aggy”

amefanya IT :smiley: mombasa polytechnic
alikua Ofafa Jerico 2013 o_O

22hrs ago 81 likes 82 comments

2 Likes

life tag poppa

RIP

Weka ndengu. After losing my laptop I can never sympathize with these fools.

After alcoholism comes this shit more and more Kenyan youths are taking it as a hobby and it takes them six feet under.

1 Like

Fucked up…