Si kwa ubaya but Sundays nyinyi ufanya nini?

Panyaste★

Village Sponsor
#1
Apart kuenda boat rides pale Uhuru Park na later kununulia your mboch looking mwoman ice cream choc stick which u lick pamoja like the peasants u are.. alafu baadaye muende sonford chips kula njiva kavu na maji ya tap..what else do u do?

Well here is Panyaste
rps20190616_144558.jpg
Ndio anaenda kwa Yvonne.. surprise her with a pizza. Lazima pia mfuko ikuwe poa.

I know many are jealous...Lmfaoooo
 
ChifuMbitika

Village Commissioner
#6
Chunga usiharibu pesa yako yote huko Ujeru alafu urudi Kenya bila chochote.
Anyway Sunday yangu huendanga hivi:
8:00am- Kuamka, kuoga na breakfast.
10:30am- Going to church
1.30am- Eating out, mostly nyama choma or kuku kienyeji joints.
3.00pm- meeting wazee wa nyumba kumi.
4:30pm- head to my favourite base for alcohol
8:30pm- kurudi Kwa nyumba.
 
kush yule mnono

Retired Hekaya Master
#12
Apart kuenda boat rides pale Uhuru Park na later kununulia your mboch looking mwoman ice cream choc stick which u lick pamoja like the peasants u are.. alafu baadaye muende sonford chips kula njiva kavu na maji ya tap..what else do u do?

Well here is Panyaste
View attachment 243137
Ndio anaenda kwa Yvonne.. surprise her with a pizza. Lazima pia mfuko ikuwe poa.

I know many are jealous...Lmfaoooo
Buda boss kwani hapo Bendora nyu withdraw.igi pizza from a atm machine. Haikai hio pizza inatest kama euros
 
mtadao

Village Elder
#16

Continue...
 
Top