Si mnisaidie kwa mawaidha?

What does it mean when a woman you are interested in starts telling you personal things like about her periods and cramps?

Ata mimi nimekuwa nikitaka kujibiwa hilo swali.Lakini kwa maoni yangu naona msichana akikuambia hivyo anakupenda ama anakuamini na siri zake.

Anakuona kama mwenzake.

unatabia za kibinti…

Me too but am confused.

anataka umsaidie na pads zako kama haujamaliza…

:smiley: Hii jiji kweli kuna ma sweep

Why bro, why??? At I OP ako na stock ya pads, tampons na ile udongo ya kukula?

[ATTACH=full]250189[/ATTACH]

Kuna time ulimuambia uko na duka ya kuuza vitu za wanawake na watoto haswaa??

:Dshe is crampy, PERIOD

[ATTACH=full]250192[/ATTACH]

:D:D:D:DImepita kama @upepo

:D:D

Patiana advise ya periods na cramps nanii

machos :smiley: :smiley:

hizi games za utoto tulikubali muache 2018. Ukitaka dem mwambie unmtaka. Mambo ya kuangalia signs and symptoms achia madaktari kama @panktcha wakiwa hosi na wagonjwa

Hard tackle… Ref waves play on:D:D

Anaona ni kama anaongea na dame mwenzake

I told her that.