Siasa za Coast na Waswahili

HNIC

Village Elder
#1
Hivi hawa watu wa Pwani wamelaaniwa au wamerogrwa na nani?

Mbaya zaidi even Kyuks and Luos when they migrate there na wao wanakuwa more Swahili than the Swahili.

Does this laziness has to do with maji ya bahari au?

Imagine being strategically located and all the resources kuanzia hiyo blue economy etc and the place is still a shit hole.

Kweli kama wasemavyo waswahili.....

Ngombe wa maskini hazai

akizaa anazaa dume

na hilo dume linakuwa baradhuli/shoga
 

Top