siasa za tanzania na hatima ya upinzani

Tanzania ni nchi amabayo inasifika sana kwa amani na utulivu,lakini ukiangalia siasa za Tanzania utajua tanzania ni nchi gani,kinachotokea katika siasa za Tanzania sidhani kama kiliwahi kutokea katika nchi nyingine dunia,nafikiri tanzania ni ya kwanza duniani kwa kufanya siasa za pekee,ni ajabu kuona wimbi kumbwa la wapinzani
wakiacha ubunge na nafasi nyingine na kuhamia ccm na kisha kupewa tena ubunge na nafasi nono nono ndani ya chama tawala,HII NI AJABU NA KWELI
Inawezekana chama tawala kinaogopa upinzani na kimejua kwenye box la kura hakishindi,au wamelenga kukomesha na kuleta maudhi kwa wapinani,ama kinataka kuwakomesha wanachama wake wanoyoipinga serikali yao,
Yote kwa yote Tanzania haina tofauti na nchi za Rwanda,Uganda na Burundi,Nawasii watanzania acheni siasa za ushamba,kukomoana bado mna matatizo mengi sana
nasikia hata mishahara watumishi wana miaka zaidi ya mitatu hawajapandishwa ,ajira mpya zimekuwa kitendawili,bado mana upungufu wa madawa ,mnahudumu mbaya za afya,elimu mbovu ni bora mkajadili haya kuliko kucheza kombolela kwenye dunia ya leo “survive for fittest” ,karibuni kenya mjemjifunze
ACHENI KUAIBISHA AFRIKA YA MASHARIKI

Full usenge.

Ninamashaka na yaliyomkuta Mtatiro alipokuwa ndani

Siasa za kisenge sana hizi.

Siasa za Tanzania zinaendeshwa na ile kauli “Machoni kama watu, mioyoni hawana utu”

Cc: @Mahondaw

Mtatiro milioni 300 na ahadi ya ubalozi, Mange US$ 1million.

kodi zetu hizi wallah, tunaumia sisi wanafaidi wengine

haki na usawa wetu

Andiko kama hili kwa malimbukeni wa Lumumba wanatoa meno kama mbwa anayetaka kuuma au ngiri aliyeona mihogo kumbe hayaoni!
Eti jamani kodi zetu ndiyo matumizi yake hayo.
Kumbe zile 1.5trillion zilizotoweka haya ndiyo matumizi yake!
Hao wanyama wa lumumba wanafikiri tukiibiwa kodi ni wapinzani tu watateseka lakini yenyewe ndiyo magwambara yamejaa miguuni utadhani mmonyoko wa ardhi!. Hivi Tz kuna wachawi wanangapi waliowaweza watanzania wote?