Side mirror thieves

#13
Kuna time nliwatch machokoch do this in broad daylight, pale city hall way. Inang'oleangwa design ingine and they don't care ka iko na alarm. Funny enough, nobody gave a f**k.
hii nai ni noma.kuna wengine walikuwa wanangoa taa ya nyuma ka madam fulani anadrive kwa jam hapo muthurwa
 

Top