Side Mirrors Kuibiwa

Status
Not open for further replies.

M2Random

Village Elder
#1
Wangwana...side mirror za toyota yangu ziliibiwa tena...mara ya kwanza kuibiwa insurance ililipa...this time najua hawawezi lipa...sasa gari haina maskio...side mirror moja ni 17k...how do I stop this theft...kuna anything msee hufanya kuzuia wizi??
 
M2Random

Village Elder
#6
When you park choteanga watu ya macho. Ni fifte tu
Boss...ukishalipa kanjo hao watu utawatoa wapi...its not like kuna watchman kwa public parking space...hata kuna ya beshte yangu iliibiwa kwa parking ya KNH. Mimi hupeana za macho always when there is a watchman karibu. Unfortunately, kuna parkings za kanjo hakuna watchman.
 
Deorro

New Villager
#7

Pea chokosh bwana kwani ulikuja Nairobi juzi?
 
Status
Not open for further replies.