SIGNET NAKURU REGION

peasant wa nax hebu mniambie if signet channels kwenu are working fine, TV yangu inashinda ikikohoa but ADN channels are working fine. Is it my TV or a general hitch?

I think its a general problem. I thought maybe my aerial iliharibika coz i was here last in December but i have consulted na wengine na wako na the same problem

thanks for the info, nimeshinda nikitwist aerial whole afternoon.

Reminds me zile siku za analogue. I had a neighbor whose duty every evening ni kuuliza bibi: “ni hapo?” and the answer was almost always “hapana, zungusha kidogo”!

Here in Meru watu wa FTA Signet wamehama to bamba and startimes. Signet inapotea ukiguza tv tu kidogo.

Signet is available via satellite as well. Intelsat 22 @72.1°E, C-band.

https://www.lyngsat.com/Intelsat-22.html

Hiyo ni ile inataka dish ya 8ft?

I did a trial on an old 6’ pf I reserve for experiments. Iko sawa.

Ata dish ni hivo tu kaa huna meter ya kupima readings

Ya Dish iko sawa. Niliwekea mtu jana

Can’t relate,

Someone from Laikipia tells me hata huko ilipotea Thursday.

Signet ni bure kabisa. Kila saa tu ni No Signal.

:D:D

Kuna saa zingine transmitter zinazimwa for non-payment.

Kama sai niko hapa pigsty najaribu kuwatch movie ingine inakaa kali on Meru HD TV, but every 5 minutes or so screen inaenda blank then katext ka “No Signal” kanaruka ruka hapo. nkt.

In such a scenario your aerial is the problem. Nunua aerial ya GoTv au Startimes (~1k) specifically.

really? niko na Jetta “Digital” aerial… has served me well for kedo 2 years now. Na kama ni Aerial, how come when Signet goes off nikiswitch to Pang or ADN or Bamba they are broadcasting vizuri sana.

Each frequency has their own uniqueness. Jetta is overrated. If in doubt, tafuta mtu ako na hiyo ya gotv ujaribu.

OK, but does the antenna really matter? Kuna siku nilichomoa areal nikawacha wire ikihang uko juu, guess what? no signals lost… and just to prove it, I did an auto scan and the TV yielded some channels. Ama ni cache? :D:D