Sijamuona diamond.

Nipo zanguh kibanda umiza hapa nacheki ufunguzi wa fainali za kombe la dunia.

Akili yangu yote ni kumuona yule msanii mkubwa Africa (Diamond Plutnumz) akiperform.

Mbona jamaa simuoni,wale mliotauambia huyu star ataperform kwanini mlituongopea?

Cc:Hance mtanashati

Unaangalia tv gani wewe… huoni yule kakaa karibu na Putin

ndani ya kanzu sio

Ataperfom siku ya mechi ya fainali

ha ha ha nimemuona yule pale pemben

Nimemuona kagame.

Usifanye masihara na kuperform world cup opening ceremony…mfano ile ya uefa final aliperform dua lipa huyu mwanadada ana nyimbo ina 1+billion views on youtube

Bado tuna machungu na hao malaika waliotuzimia mtandao!

Hana utofauti na msagasumu wote waliangalia ufunguzi kwenye tv

dogo misifa mingi inazidi wakati haina ukweli

:D:):D:):D:) Teh teh teh…

msaii mkubwa afrika
what a fuuuuuuuck

Yupo Putin ndiyo namuona… na mfalme wa Saudia arabia…

Cc: @Mahondaw

Hutaki au?

Aiseee

Nabii hakubaliki home

Team wcb walituongopea

kapimwe macho

C:Joel sandu