siku niliacha pombe for 1 week

#1
I used to be a drunk back then. Not an alcohol addict lakini si unusual pombe ilikuwa imeniingia kwa damu. Nikiwa na Erico (mnakumbuka Erico msee mwenye nilikamua dame yake) tulikuwanga tunakata kila wikendi. Pesa ya HELB tuliitumianga vibaya sana aisee.

Ikifika wikendi tulikuwa tukienda clabu alafu tunaitisha mizinga nne akina best, lawson na Smirnoff Vodka. Kutoka hapo ilikuwa massacre. Ilibaki tulikuwa tunaamshwa ngware na mabouncer ati maidhaa za kujibamba zimekatika. Kutoka hapo ni kupanda taxi juu mat iyo gidhaa hazikuwa zinapatikana. Kutoka hapo taxi ilikuwa inatufikisha hadi hostel juu sisi tulikuwa tunaishi zile hostel ziko nje ya shule.

Wikendi moja tukaenda ulevi kama kawa. hiyo siku erico hakulewa kumbe alikuwa amenyakua kunguru na alikuwa ameamua angeikamua sasa ilibidi amechorea pombe. uzuri hakuwa anaikamulia kwa keja yetu ya hostel. iyo siku ilikuwa imenyesha ile noma na kukinyesha njia ya kuenda hostel ilikuanga noma. matope nayo. sijui alipeleka wapi kunguru. mi kama kawa nikameza chupa kadhaa za makali alafu kama kawa afta kuamshwa na mabouncer nikapanda taxi juu zinakuanga tu hapo nje ya clabu. kufika iyo njia ya kuenda hostel dere wa taxi akadinda kuingia juu ya matope na huko ndae zilikuanga zinakwama kukinyesha. nikasort huyo dere dooh zako alafu nikaanza kutembea nikienda hostel saa hiyo nanyeshewa ile noma. kufika njiani nikapatana na ninja flani ilikuwa ikiniangalia na juu pombe bado iko kwa kichwa ikanichocha nikaona naeza muona war juu huyo msee alikuwa mfupi kiasi kuniliko na mimi ni mrefu.

'Unaangalia nini wewe?', jama akurespond. nikaona huyu lazima anijue leo. nilienda mahali ako nikidai kumvuruga. nilirusha kidevu na juu nilikuwa mlevi manze nilihata ikabaki ile design anaona shavu yangu manze nilipewa left moja ikaniingisha ndani ya ile matope inakaa uji uji. kuona ivo niliamka nikatoka teke hadi hostel juu nilikuwa nimekaribia kufika huko. nilitoa cladi juu zilikuwa zimejaa matope nikapiga shower nikadoze kabisa hadi ngware.

For the next week nilichorea pombe kabisa..
 

pertusis

Village Elder
#6
:Dshait,pewo like.ati erico yupi..link tafasari tall maduong..you lived your campus life to the fullest,not everyone gets privileged to join kama pertusis..good unanijenganga insight vile campo hukua
 
Top