siku sheria zikifuatwa zote kwa mpigo nyumba zitageuzwa magereza. umejifunza nini hapo

[ATTACH=full]180214[/ATTACH]

wilfred bony mchezaji wa swansea na ivory coast akiwa katika pantoni jijini dsm

Hmm!..

Bony kbsa yule wa city???

Basi sawa

Kafata nini sijui huko