siku za mwizi ni.........

Mombasa road suspected thug stealing from vehicles during jam
[ATTACH=full]135969[/ATTACH] [ATTACH=full]135970[/ATTACH] [ATTACH=full]135971[/ATTACH] [ATTACH=full]135972[/ATTACH]

mkamba alikua anaiba hizo signpost za steel kwa njia ama ?

:D:D:D:Dwacha ujinga bukusu.fixed
kusanya simu sanasana na vibeti kukiwa na jam.amelizwe.i use mombasa road daily so nikifika pale sameer lazima nifunge dirisha

Andika tu kwa kikamba tutaita @Saprano for translation

hawa niwale usanya simu ukizubaa kwa dirisha…lakini leo amekipataa

:D:Dy now.nimefix already :D.jinga

hehe sawa

sioni kama wananchi wamefikisha threshold ya kumchangamkia hapo wangemuunda tukule nyama na @Touchlyrics leo

rules za kijiji zinasema ukimulikwa unatulia hakuna cha kufix

inaonekana badoo ananashughlikiwa

nitulie na haujafix.nitoanishwe.?naaaaa

@this is hard :eek::eek::eek:
Days of thief is 40 …:eek::eek:

:D:D:D:D Wasee wakiwa jam session ama? :rolleyes:

Osungu ilikataa huyu mkamba

Hii mwili yote ni pesa ya wizi? Wach mchwa wapate kitoweo

:D:D:eek::eek:

Hapa ni pale Mass Communication ama Bellevue?

Kwani alikimbia hadi Ruai sewage…

Kama ni hapo bridge ya south c means wamerudi…they used to steal from naive wahindis in their VXs then wanaingia kwa iyo kamto hapo na kutorokea kwa shanties flying squad had cleared them, including a disabled one sometime back. That bridge is a no-go zone on foot after 9pm.

Huyo jamaa amevaa shati ina rangi kama ya chama kingine hapo cha wezi.:smiley: