SIMBA SC SPECIAL THREAD (TAIFA KUBWA)

Kwa wale wanazi wenzangu wa kutupwa wa mnyama karibuni mchangie chochote katika uzi huu maalum. Mabingwa wa VPL 2017/2018
[ATTACH=full]176739[/ATTACH]

@GENTAMYCINE Karibu tuendeleze uchambuzi juu ya Kuondoka kwa mtaalamu Lechantre na kubaki na mpiga majungu Masudi Djuma.
Nini kifanyike,Usajili uliofanyika mpaka sasa unatija kwa maendeleo ya timu yetu Kimataifa au ni kumpiga ‘MO’ pesa zake tu?![ATTACH=full]176746[/ATTACH][ATTACH=full]176747[/ATTACH][ATTACH=full]176748[/ATTACH][ATTACH=full]176750[/ATTACH]

@King Ngwaba Njooni tuichambue Simba yetu.

[FONT=courier new]Sijui na sitaki kuanzia sasa kuulizwa maswali yoyote ya Simba SC kwani ’ wameshanitibua ’ kwa ’ Upumbavu ’ na ’ Uswahili ’ wao hivyo watajua wenyewe. Nimemaliza!

Nina ’ hasira ’ sana leo kwakuwa Egypt, Morocco na Nigeria wamenikera ’ Kunakotukuka ’ na nawasubiri 'Tunisia na Senegal niwaone nao na kama Wao pia watafanya ’ Upuuzi ’ wa Waafrika Wenzao basi muda mfupi ujao GENTAMYCINE ’ nitajilipua ’ na kuanza kuzishangilia Timu za Latin America na Ulaya pekee.

Waafrika tunachoweza ni kufanya tu ’ Ngono '. Pumbavu zetu kweli kweli![/FONT]

Mwisho wa siku Usimba wetu unatakiwa uendelee hata kama viongozi wamekera kupita maelezo.

Ila nimesikia tetesi Lechantre anaweza kurudishwa kundini kutokana na CV yake iliyotukuka humu barani Afrika.

Wooooozeeeerrr mnyama

Champions…

Kwanza Tuko Bize Kuzamia Kwenye Usajili ili tukiibuka na Mtambo Wa Magoli Tunaenda Kuchukua Kagame Kiulaini…

Piga keleleeeeeeeeeee! Naipenda Simba mshabiki wa damu mie,naipenda simba mtoto wa msimbazi mie, nguvu moja
Nalog off

huyu mzungu na omog wanafanana timu ina jilinda sana kuliko kushambulia, namkubali djuma kuliko mzungu

Inawezekana DJUMA akaja kuwa kocha mzuri ila bado anakosa sifa na mbinu za kuiwezesha SIMBA kufika mbali.

hahaha naskia myama kahamishia 4g huko kagame.

Hatari sana,japokuwa Mwalimu bado hajapata muunganiko mzuri,jana ilikuwa ni individual performance and not team performance

Baada ya mech kadhaa wataelewana tu… Vp Nan alitupia magoli,

Salamba 2,Kaheza 1 na yule dogo Rashidi 1