what is this thing huwa munatafuta kwa simu ya mwanaume:confused:
sasa sparta ametuliza vizuri na mzoga, easy skanking na watch ball bila wasiwasi nikimeza ile machozi ya simba(makali)
pale prediction kings nimepeana bet of the day inaelekea ku-ivaa, mzoga juu sio fun wa ball iko tu apo kitchen inaprepare sappa ikimeza ka wine kama zile SQ
bet ya prediction ikaivaa , na wale wasee hu appreciate chai wakanisort l was in a happy mood, then kuna one gambler apo yeye huweka uzito akanicall
sparta leo umenijenga nakurushia chai, boy akatuma lunch na sappa nikamcall bro kwani umekosea amount akadai zii sparta iyo ni yako…
mood ika-change nikashow mzoga iyo food kama huja-anza kupika wachana nayo,nafika apa chini
nikuletee nini, kawaida yake choclate bla bla blackforest kuku upuzi mingi
nikaenda nikachukuwa ka whisky mzinga na izo upuzi zingine nikarudi kejani kuenjoy game
niki-chambua game ingine nikarushia wasee, na nikaendelea nakumeza,
Halftime walikuwa 1-2 bet ilikuwa imeivaa…
nikachoma hadi blunt juu nikajuwa my mojo is back, everything was ok until nilichew kwa kiti
sasa wasee after kukula bet kunitumia chai huwa wanacall
nilikuwa nimechew nimelala…
hadi nyangau inaitwa MADOVA ikanicall na number ingine huwa nimemshow iyo number ni ya job pekee
apo ndio mzoga ilitake advantage ikachukuwa simu yangu ika-ingia whatapp kwanza ikasoma maneno
all the messages na munajuwa sparta ni nani?
kumbe mzoga ilidhani yeye ni mjanja lakini inapata evidence ya OCAMPO
wacha message za telegram zianze aka-ingia uko
na uko munajuwa ni kwa akina nani FRISK and Team mafisi
wacha mzoga isome maneno na vituko
mambo za HKM na hadi group ya @uwesmake vile huwa na compliment picha za momo
sparta bila habari after kuamka naongelesha mzoga napewa blueticks
hataki kuniona…
macho iko jicho nyanya amefume yake yote
sasa shida ilikuwa one message mzoga ilikuwa imenitumia nudes jina Tiffany
mzoga ilikuwa inasema tu l thought u were different Tommy
nilimshow uko kwa simu ulikuwa unatafuta nini? SHAITANI