'Sinaita'

Matatu number 56 comes to a halt,naskia gari mwisho,i had been asleep the whole journey. This was a whole new place and i was glad to see lots of people around it was abusy place with hawkers busy selling their wares.,naingia hoteli flani apo karibu na stage nikicheki cheki hii mtaa,na maliza tiabe napinga roundi ,hii area yote ni ghetto.Niliamua sitawai ishi place nyumba ziko mbali mbali tena.
Kutembea tembea napata kibao imeandikwa house to let, kando ya klabu moja bigi inajiita Sweet Waters Pub na kuuliza naambiwa hao ni thao na hakuna depo mtu anatoa, keja ina stima.mimi huyoo napatia caretaker thao kwa zile dooh nilipewa advance, na buy vitu basics kaa matress, karai, kufuli, bulb na towels mbili moja kaa duster kwa ka Mini Mart hapo karibu na baro ,naosha keja nakalia matress atleast peace inarudi kiasi.
Ngwaare the following day narauka nenda kusaka works na by 12PM naangukia job kwa posho mill. Nikaanza the following day and again all was good.Saasa kuna huu jirani next door wacha anunue ka Ampex subwoofer ,manze anafungua yote mpaka speaker zinang’orota nikaishia kwa caretaker nikamshow akatuita sote nikasema shida yangu ni apunguze sauti usiku atleast kuanzia saa tano,mzae ananiangalia na anacheki caretaker pia anasema fanya kazi ata wewe ununue yako upigishe kelele! na anarudi kwake.Usha wai umwa mpaka unaskia kulia.iyo iliuma.Nilikasirika nikasave pesa for the next 3 months nikawai radio ya Sony ile ya 15K.nikaiendea tao nikakuja testing.waaah! si ilikua fyam! nikazima poa nikangoja neighbour kama kawa akachapisha Ampex yake mpaka kitu 1.am usiku nikamake sure amelala poa.sony yangu music full blast! yake ili sound toy.ailkuja kwangu mbio,ku knock sifungui,akaendea caretaker mimi nilifungua mlango jamaa amejam nikauliza caretaker si alisema ni buy radio yangu pia?caretaker akacheka akaishia 2 days after he became my friend.
My new found friend alikua msee wa mjei na after siku mob za kuni convince mjei was better kuliko works yangu ya posho mill nika quit nikamjoin. Enyewe true to his word pesa ya mjei was more than ile ya posho mill na with time nikawa fundi kabsaa.Hizi job za mjei tulikua twaziita ‘projects’.sasa siku moja tukaiitiwa 'Project uko Kangemi,Kangemi ilikua imeborder na Kanungaga hii mtaa tulikua tuna ishi kangemi iliku tu across the river.huku ndio nilimeet msupa kwa jina Snyder.Huyu msupa ndio alikua anatuuzia food,mtotoo msupa kuruka!amebeba kaa gari ya makaa,nikajipa na nikarusha lugha haikua rahisi but mtotoo akaingia box mwishowe.
Sato moja kutokea works Snyder akanistua nikaspend kwake,mimi si najua manzi anashi solo nikakubali faster faster tukaishia kwake. kuingia kwake ilikua single room hao simple na safi tena iko organised,kurusha macho naona kavunja kaa zile za soja kwa corner ya bed,kuulza akanishow ni za bro yake na ako deployed side za Garrisa.hizo ma siku cattle rustling tu ndio ilikua national threat,nikarelax poa nikapikiwa sembe nikawekewa maji kwa bafu nje and daamn! it felt good.
Bedminton msupa alikua champe ni kupewa slices kaa zimepakwa blueband,siagi na asali.sikuwai jua mtu anaweza bend na kutwist style zingine!. Yaani unapewa slices mpaka unaanza kuimba pambio usiku.enyewe nishawai fyekana but huu mshee alifanya nikaskia ni kaa hizo za before zilikua ma trizex ama mamjaribus.Asubuhi yake chai na toast mayai unatoka kwenda job ukifeel kwenda ukisalimia kila mtu kwa njia na mkono.akawa ananipa ma strange dates za kwenda kwake na for long nikashindwa kwa nini,kwangu akakataa kutembea kabisaa.
Sato moja after kupewa wages za wiki,Snyder akanishow nimchill akusanye dooh za food tuishie kwake.nikijua ile treat naenda kupewa nikamshow aende mbele nitacome.Nikaingia duka flani apo nikachukua njumu ,sports shoes zilikua zaitwa FILA ndio zilikua tops izo dayz nikaziwai na nikaingia kwa butcher nikachukua ka nyama nusu,naenda ni ki whistle ka landie ana tu mburoti kumi mahali.
Nyt ikawa fine thankyou! kama kawaida kupewa kupewa na kulala.kitu ma saa tisa hivi mlango ikagongwa na nguvu msee akiitana “sinaita ,sinaita” funguria muriango" i look at Sny she is freaking out.nikajua kimeumana.nikamuuliza ni nani anasema ni mzee wake.mlango BUBUBU! ‘‘Sinaita Sinaita’’ .nikaruka kutoka bed nikakusanya nguo zangu nikaingia chini ya bed.
Sinaita(Snyder) anafungua mlango na mzee anaanza kiluhya wanakoroga,wanakoroga mimi niko tu chini ya bed natetemeka nikiomba aki nisipatwe.
Snyder anapashia mzee chakula,anakula.nikifikiri atachukua maji akaonge nje nichomoke waapi! mzee hana haraka.anamaliza anaruka bed, anfyeka Sny kama 45 minutes ivo.naumia tu sana juu ka bed ni ka safari bed masprings zinanifinya kwa hizo fote fae minutes na mwishowe naskia wamelaa.
Nikachomoka chini ya bed nimeshika trouser mkono moja na FILA zangu mpya kwa mkono ata sijui kwenye shati iko.kufungua mlango chapi ni ile ya kelele mzee anaskia anaamka MWIIIZI,MWIIIZI, Fuck it! nafungua mlango naruka inje but naskia milango zikifunguliwa.BOSS!nafuatwa nyuma na mzee na kerende ya watu mbiooo.karibu kufika kwa gate mama fulani anafungua mlango naskia sufuria kwa kichwa PUU !Kidogo tu nirwade down but naregain balance.mbele ka gate ni ka mabati napita nako flying kick,naskia doggie imeuma trao kwa mkono inbidi niachilie.maze mshahara yote iko kwa mfuko but siwezi smama naskia mawe zinanipita vwaa vwaa but wase wana kam tu mbio.Ile njia nilikua nijisave tu ni kuingia katikati ya vichaka na mashamba za watu.Ploti ya kule nilikua ilikua ime border na mashaba na vichaka so ilibidi nipenye kwa fence za ‘kaiyafa’ ndio nijisave .sema kutegwa na mawe nika land flat chini na uso uso ikagwaruzwa vibaya nikaanza kubleed kuvuka fenye juu sina shati sema miiba kunigwara zikinitoa damu.nikavukua mashamba kadhaa na after kuona wase wamepote nikalala kwa manyasi for a while nika make sure hakuna mtu amnifuta.kila part ya mwili inatoka damu.viatu niliacha mahali nilianguka nimebaki na boxer pekee.nikateremka mpaka kwa ile river ilikua imeseparate Kanunganga na Kangemi.
Shida ilikua moja hii bridge ilikua na sifa ya wasee kuuliwa na kupigwa ngeta.kulikua na mwezi iyo nyt soo kwa umbali naona kuna karende hapo juu ya bridge sasa siwezi rudi nyuma na naogopa kumadwa ni kashindwa cha kufanya.kufikiria faster nikaona njia ya kupita tu ni kujifanya chizi.nikatoa boxer nikaifunga kwa kichwa nikabaki bilaz.Mwili yote inatoka damu ni kugwaruzwa na fence,miguu imejaa zile mwiba za shamba.Nikainua mikono zangu zote juu kaa nimeshika mawe mbili nikateremka mbioo towards the bridge nikipiga nduru yangu yote na niko uchi na boxer kwa kichwa na ni kitu 4am ,Wasee kunicheki waliona ni kaa shetani kila mtu alikaa missing na njia yake…nikapanda mlima mbio mpaka kwa safe distance nikavaa boxer nkaingia kwangu bleeding,hungry bila pesa bila nguo waaah!

82 Likes

:D:D:D:D:D:Dwaah…wish ingekuwa ile kitanda ya bladaa

3 Likes

:D:D:D:D…this is epic!!!.Am rolling on the fall walai mtanimaliza.

4 Likes

I know this style of narration…can’t quite put my finger on who you remind me of…but it’s there.
good job though. very masterful…

7 Likes

best hekaya fo far

2 Likes

Nice hekaya bro

1 Like

I would not want to walk a metre in your shoes boss…naaahhh

2 Likes

hizi hekaya zako ni creme dela creme .

2 Likes

Snaita

3 Likes

:D:D:D:D:D:D

1 Like

Ati fungua muriango hehe:D:D:D

10 Likes

Epic :D:D:D:D

2 Likes

:D:D

2 Likes

aki ya nani i just wish

story of my life

asande.

thankyou.

thankyou grandmaster

Where’s Sinaita nowadays

2 Likes

you should.i lived to tell,you could too