sitawai saidia wa2 wengine walae!!

Status
Not open for further replies.
#1
Ki mtu kina kuja kwangu ati ako karibu kutupwa out of her house juu ya rent arrears ..she is my Ex analia ati hana pesa ya rent na owner ataki kuskia any. Nam sort out 10K via mpesa ju mm si m2 hivihivi na namshow hio asirudishe. Leo naenda FB naona kimtu kimepiga kaselfie na galfriends zake ati wako road trip wanaenda Naivasha ..wakiwa ndani ya ndae alafu yenye inaumiza kuna fisi mwanaume kwa hio photo na yeye ndio ana drive na ametoa meno zote nje inacheka.

Nafikiri alisahau we are still mutual friends in FB...sija comment kwa hio status yake bado...sijui niandike nn? ebu advice..was thinking like writing kwani rent imekuwa Naivasha ...nataka ajue nimeshika radar.

PS: Am out of the country
 
Last edited:
#13
So how did you mpesa her the money if you are out of the country?
Does mpesa really work when roaming?
Yes Mpesa and Money gram work hand in hand tembea uone mengi

For doubters i will leave this here...alafu niwache na home work..izo ni pesa ngapi za kenya and PS hio ni pocket change kwangu

rs.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Top