Skrill e-wallet

Mshikadau

Village Elder
#1
Hey.So am doing karesearch kidogo kuhusu skrill ewallet.Kama uko na experience ya kutumia skrill maybe ukishop ebu niadvice kuhusu bei ya matransakshens iko vipi.Is it worth it kutumia skrill ju kuna venye pia nimesoma rates zaje ni 1.9% which is considerably high kwa mkulima mdogo.
 

Mshikadau

Village Elder
#7
The last time I checked, with bet365, whatever option you use to load funds, is the same way utatumia kutoa.
It's best if you used a debit card au bank transfer.
But the advantage with skrill is, you can link your Mpesa. Charges ndio hukua juu kiasi saa ya kutoa.
Ive used it but for a different thing....
So ulikua unatumia kiaje na izo charges zilikua vipi
 

Top