Slay queen mwitu

Sasa huyu msichana alikuja kwangu saa mbili akapata nanza kujipikia chapati, na kiherehere yake akapigia mabeshte wake wanne, wameshinda wakipiga picha na kula chapo zangu, wametoka tu saa hii(11.15 pm)

Sasa nikauliza, nani slay queen hapa? Wewe?

Izo Thelfie zkamu ama tuconclude izi fable zako ni Photoshop

Sasa wewe ndo mnyama gani anapika chapati? Slay king?

Picha ya slay queens wakitafuna chapo ama ikue HOYA!

Umelala class

Make it a weekly thingl They will never leave your house. You are such a genius.

wings links zile za couch p kabisa.

dem watano wako na mwanaume bado unapika? kwani uliolewa na huyo msichana?

Effidens ama ni porojo…

Unakaliwa chapati hadi unapika chapati!

Wapi mbisha ya slay queens ama ata chapo
[ATTACH=full]140670[/ATTACH]

We demand mbisha, its our right

Ati ulikuwa unafanya nini?
https://justinsomnia.org/images/jinja-uganda-bujagali-chapati-company-spinning.jpg

Si hao madame wame slay hizo chapo?

Unge zikalia tuone kama kutakuwa na effect.