Used to happen to me sometime back, nikisha kata mbachu nikatulia alafu kausingizi kanase. Naingia kitu kama dreamland hivi na huko ndio nilikuwa nafeel ni kama mujamaa ananinyonga mara nakimbizwa na watu ka soo, natry kudungilia kanduru hivi hakatoki, kidogo najaribu kutoka kijiko lakini sisongi.
Once nimelala na kafunga hivi, morning naamka na maaibu mob thinking alisikia nikipiga nduru kumbe zii