Of late nimekuona nikiona this fine lass when dropping mtoto kwa pick up point yake, hii mwalimu huwa inaniongelesha vizuuri saaana alafu ni mrembo kuruka. swali ni je ni vibaya kuomba na kukula slices kwa mwalimu anayefundicha mtoto wako