smh, kwani nikona miaka ngapi?

#1
saw a news cast eti jaden yule wa blad smith eti akona miaka 21?
how when why?
nakumbuka nilicheki clip yake ile ya kunfu kids nikiwa highschool na alikuwa mkidi mbaya...
sai nachapiwa nimeacha yeye na miaka tatu..

alafu kuna galdem beshte yangu anajifungua this.month, first pregnancy, ameoleka, ako job.. salo ni kitu 40+
Ni mbio wakonayo mingi ama ni mimi navuta makamasi tu?
niko hapa betin shop ya naks trying to process that shit. apparently nimenyonywa 3k.
 
Idias

Village Elder
#12

Huyu Jayden anakaa mtu wa shash mbaya
 
Top