smh, kwani nikona miaka ngapi?

saw a news cast eti jaden yule wa blad smith eti akona miaka 21?
how when why?
nakumbuka nilicheki clip yake ile ya kunfu kids nikiwa highschool na alikuwa mkidi mbaya…
sai nachapiwa nimeacha yeye na miaka tatu…

alafu kuna galdem beshte yangu anajifungua this.month, first pregnancy, ameoleka, ako job… salo ni kitu 40+
Ni mbio wakonayo mingi ama ni mimi navuta makamasi tu?
niko hapa betin shop ya naks trying to process that shit. apparently nimenyonywa 3k.

Mkisaidiwa hamsaidiki!

bana si nikujenge mbana uniskumie ki lunch man

utakula kana ni urimu wa kubet?

shida nikikupa unarnda ati kuweka gg:D

dire ona ke

Enda nyumbani ukule

Nitafute kwa Mama Aggy, ulizia kanu street karibu na hotel eros nikununulie fish kubwa

Sijui hawa watoto hukula nini banae, saa hii ananikalia mtu wa 25+, amekondeana ni kama mkundu pia itaingizwa, damn men

Na umetumia 3k betting.

After a few minutes, he was seen exiting the kibandaste like kipchoge keino clutching his already falling trousers

Huyu Jayden anakaa mtu wa shash mbaya

you are goddamn right

[ATTACH=full]248499[/ATTACH]