Snapdragon Beast!!

Wadau finally niliamua kusema kwaheri kwa the shinese, nilikuwa nimekwamia Naomi na ecosystem yao akina MiCloud etc. miaka nenda rudi. Mpaka software experience ikaanza kuzorota, mimi bado nimeshikilia tu like a loyal bitch until I had enough.
Nimefunga mkanda nikaingia kwa waKorea sasa & went for the best they had to offer wacha nione vile tutapelekana. So far nala raha sana, very smooth experience, hio Amoled screen,gaming Genshin Impact PUBG Asphalt ziko ngangari, hio Camera na zoom feature ni balaa, nitatumia for my Amateur Voyeuristic adventures, SPen na mambo yake yaani hii simu nimeiaminia, hakuna kuhang pahali, hata Dex desktop feature pia iko sawa sana. Nilitaka strictly SnapDragon version na huku haziko kabisa, kama nikutoa hio pesa yote I wanted the very best si hizi maExynos taktaka mashida zimejaa huku, @Axelrod nashkuru he imported for me the fully specd S22 Ultra Korean Variant 12GB RAM/512GB from South Korea ikafika in 11Days. Jamaa ni mtaalam sana kwa haya mambo, was very easy to deal with & helpful, highly recommend his service. @Nyamgondho @Soprano @Jimit leteni maoni tafasali, @Nipe Nikusifu @johntez addi gaza msafi fungeni pampers msihare hapa mbaff!

[ATTACH=full]454094[/ATTACH]

[ATTACH=full]454093[/ATTACH]

Mimi chenye najua ni kwamba the OneUI is the smoothest and the most convenient Android skin. @johntez addi gaza msafi nitafte kiasi kuna story flani ilikua nkuchapie

Sanaa, wameilainisha nilichukia Samsung juu ya TouchWiz hii ilikuwa takataka.

Since the A series debuted more than 4 years ago OneUI has been the best android interface out here.

I have had this

I have had this phone a while now… best phone I ever bought. First experience with Samsung

Umeenda aje hapo kwa hizi settings KAKA

Hapo kwa the best ningesema Oxygen OS lakini sai hayuko hai tena Oppo waliamua kuharibu.

[ATTACH=full]454096[/ATTACH]

Hata usiseme kutoka maRedmi mpaka hii utaskia difference kubwa sana, kuna app inajiita AIDA64 kwa PlayStore ni ya kucheki internal hardware na Authenticity ni kama CPU Z.

This is the best I can do… or is it because yours is the Korean version?

I want to see all these specs in one place… @LeVoyeur saidia

Mimi na Samsung za Exynos hapana, strictly @snapdragon Only or nothing.

Ni app mkuu, download AIDA64 kwa PlayStore itakuonyesha Internal Hardware.

@LeVoyeur shukran…

You have double internal capacity… but that’s about all the difference I can see.

Imefika mangapi saa hii?

[ATTACH=full]454099[/ATTACH]

Difference Mzito?

Preference au performance ni tofauti?

I bought it because I was tired of Tecnos and whatnot.

If there is a better world out there… share kaka

@LeVoyeur laptop wise… Ryzen au Intel? Nividia au Radeon?

Niliangukia kitu inacheza na both Radeon na RTX…

Share ur phone secrets I share my laptop secret

Big difference kwa performance, Thermals na stability,Gaming etc. Exynos imekuwa chini sana for years haijawai shika SnapDragon watu wamecomplain sana lakini Samsung hawataki kuzitoa because ni cheap to manufacture with higher margins.

Hapa mnaongea Greek banaye. Mimi Bora simu haiko slow.

Android > Iphone

If money is no object Intel+Nvidia RTX anyday, Ryzen+Radeon kama uko kwa budget, ni series gani by the way in each?

Ryzen 7 5800 achana nayo kaka…

Alafu this thing combines an RTX na Radeon kwa graphics.

Better than Helios Predator yenye yangu ya before (RTX na 1oth Gen i7)… faster and thermals WAAAY better…

Swear Ryzen 7 ukipata usiangalie i7 yoyote… independent of generation

Ona overkill…
[ATTACH=full]454102[/ATTACH]

[ATTACH=full]454101[/ATTACH]