So many fake beggars in the streets

#1
Nimechoka na Hawa beggars , Kuna this beggar who walks with a kid , yeye haoni anaogozwa na kijana wake who is heavily intoxicated, pia the 'blind ninja" u can smell changaa perfume from a distance........


Leo napatana na mwingine na kitabu ya 32pages anachangisha eti mtoi wake alifakufia hosii anatafuta pesa ya mazishi, on inspecting the book only 1page ndio imejazwa , nikajiuliza hana marafiko zaidi ya tano , the ninja too is so convincing with true lies ........
 
#2
There was a time i was waiting for a mat so kuna mat ilikuja ikashukisha a blindman and the guy was standing a good distance from the road and he seems like he knew what he was doing. Nikamshika mkono na kumvukisha akaenda zake.

Young gamal kweli was very naive.
 

Yuletapeli

Village Sponsor
#11
Kuna mzae tao alinishow hana fare nikamwai soo....after a few weeks namuona same spot akiomba doh
Huyo mzae nimepatana na yeye mara mob sana. Huwa amebeba college bag ya black. Siku ya kwanza nikamshika soo kwa ile huruma. Nilimpea tu hivi matha mwingine wa Mpsea akanisho huyo jamaa ameni enjoy. siku kadha kupita nkapatana nayeye akanisho the same stori. nika muuliza "Kwani hujai fika Narok? akaniambia sawa sawa akiendanga....
 

ChifuMbitika

Village Commissioner
#13
Kila mtu atafute unga Kwa uwezo na ujanja alio nao. I rarely give when I suspect something fishy but when sympathy gets the better of me, I have no problem donating.
 

Top