So, sasa itakuwa ni competition?

Between the super powers that is. China wajenge SGR, America nayo ijenge barabara. Ni kifua sasa. Mnafanya tunafanya. Mnajenga tunajenga. Mnatomba tunatomba saiidi!!

Kati ya SGR na Barabara gani itashinda sasa?

A road is flexible mizigo unaletewa kwa doorstep. The rail may be touted as cheaper. Battle for third world infrastructure, hearts, souls and minds. Na mnapewa hio development by force. You cannot deny Trump of this road… it has to be stamped on the Kenyan map. Come rain come shine!! Na itajengwa design mnaiona even from space to overshadow the Chinese railway line. It’s time to chop off the Chinese pembes.

Big boys marking their territories. I’m sure SGR sasa itapambwa na flag za China nayo barabara itakuwa na stripes and stars, gift from the people of America! China’s very best technology, a Standard Guage iron snake VERSUS America’s best roadmaking technology! Itakuwa na hadi elevation kama zile za L.A… eeeeh mjue Captain America is on African soil.

And I can imagine since Americans really love to show off zile malorry na matractor zitaletwa huku Kenya… wacha tu!

Hio documentary ya HOW WE BUILT IT ama MEGA PROJECT KENYA italetwa hadi Discovery networks na National Geographic! The scope of work… crazy… mtakuwa mnapanda hio barabara, wacha tu. I’m sure they’ll pull out all the guns on this one. They will stop at nothing. A show piece of American engineering. Tumeoneshwa reli ya China sasa ngoja muone barabara za U.S.

Hii inaitwa making a statement!

And I’m sure itakuwa as wide as ever, kama zile highway zao. Unaona wamekataa haka ka highway ka zamani? The same way China walisema, “Tupeni hio takataka ya 1901 tuwajengee reli mpya! We don’t expand old crap here!”

Meria mata anajaa center lane hakuna kuchange gear. Ni ku cruise hadi Kisumu akiwa pekee yake. Anapitana tu na reli, who will get there first!!

Meriamata sasa naona ukitupa hio Actross kadogo mwuanze kutumia zile monster za U.S. Chrome imejaa hadi huwezi angalia kwa jua.

Hizi hapa peterbilt:

https://www.youtube.com/watch?v=LlhC4YV-Z4c

Hillbilly Mkenya. Na CD za country hapo. Matatu ikileta ujinga unapita nayo unaenda kuitupa Uganda.

Hata unazima lights za gari juu zile taa zitamwagwa hio roadi…wacha tu.

Na zile sign board kubwa za green. Ile maringo itakuwa hapo aki ya nani, na muenjoyo! With 6 layers of concrete and tarmac! Unafika Mombasa na 3 hours. No bumps. Nyweeeeee.

Na hawa vijana wa superbikes watakuwa wanashinda huko sasa, vrrrooooom!! 350kph!

Trump anaambia Bechtel saa hii: “Gentlemen this a political statement! Show these niggers and the world at large what we can do, who’s boss around here! That these here United State’s still got what it takes!!”

Who would have thought the day would ever come when a nyeuthi president is treated like an equal in Washington. I guess we have China to thank for that.

And what else is in the package? China wakijenga electric coal plant America inakuja na wind farm?! We will have two of everything. China inajenga pipeline, America wanakuja mbio na refinery. Compe!

Lakini… mjue ni nyinyi tu mtalipa, nugu nyinyi!

Turkey is also trying very hard to make a world statement. The Arab superpower! Wacha tuone kama watatoboa pale TZ ama ni mdomo tu. And where is Russia?!

Russia ni weapons tu wanajua siku hizi. The new cold war ni mambo na infrastructure. And the African is still the pawn.

Niaje ng’ombe ya Trump. Ukimaliza kulamba Trump matako, rudi ukaoshe wazee matanye kabla haujarudishwa huku vumbistan :D:D:D

hiyo barabara sioni ikijengwa any time soon.

Umeona waKenya wangapi wakirudishwa? Haukuskia juzi Kenyans walipewa top marks 73% as third most hard working foreigners in the U.S.?

https://www.nation.co.ke/news/diaspora/Kenyans-ranked-3rd-most-hardworking-foreigners-in-US/2107720-4722054-109n1tx/index.html

Add to that the money sent by Kenyans living abroad hata imepita tea exports and tourism as a foreign exchange earner. Hio ghorofa unaishi saa hii hapo Roysambu imejengwa na hao cucu unadharau hivyo…

Wewe na hio suti yako kesho asubuhi ukipanda hio matatu ushinde ukicheza na biro ofisi fulani, your agemate pale U.S. utamfikia siku gani?!
Siku gani, I say? Not unless ukuwe mkubwa wa NYS.

Unaishi kwa ghorofa yake, na ndio anaosha macucu wewe utajenga ghorofa yako lini? Na ujue anaosha cucu ndio alipe masters bado hajapata works huko!

Eeeh mlikuwa high school moja ndio. Lakini akikuja Kenya kutembea unahepa sana msipatane uulizwe maswali nyeti:

“So brother, what have you been up to?”

Anaenda Zanzibar holiday, wewe labda uletewe picha za Zanzibar na T255.

Ignorance is bad for your health.

Wakipaka tunapaka.

SGR inaenda mpaka wapi?

I bet you think all Kenyans living here in Kenya are poor peasants who depend on poor paying jobs to survive. Why don’t you do us ‘peasants’ a big favour and show us how you’re living it big huko Trumpistan? :D:D:D

on behalf of ktalk villagers huku mashinani,tunasema pole kwa vile umeumizwa na comment.wueh!!! siumeongea

Si hio ni reality buda. I know I hit home with that one. Kama sio Roysambu ni hapo Wendani, case closed. Ukishanyakua Subaru yako na tu thao kadhaa kwa mfuko za you and the boys every weekend, uko 7th Heaven.

Living abroad unakutana na mashida extraordinary hadi ukitoboa wewe ni ninja ya ukweli. Hakuna shida unaogopa! Making that dollar is no joke!

Vision ya mjamaa ako foreign land usicheze nayo. Huko hakuna mummy na daddy, ni wewe na Trump ama give up urudi home. Ni make it or break it moment.

Nani ameumiza mwingine? And you are trying very hard to support your weakened brother there.

Unaona come back yake, “ni sawa tu umeniita peasant na si kuwa na ubaya! Ni sawa tu nitajenga siku moja.”

Na mimi huwa naongea mingi sijaanza leo. Hata saa hii nitaongea mob. Ujinga ni kudharau mjamaa anaosha cucu leo halafu kesho ukimwuona akijenga mall mauwivu zinakuingia, zinakuchoma roho hadi karibu ujinyonge. Unaji console mauchungu:

“Woooi Mungu si u deport tu yeye?! Lakini hakuna shida najua ni kwuiba aliiba, sio kitu ingine. Na haendi far…”

Proverbs of heartbreak & poverty.

Hehehehe si umejitetea sana. You do know one can make big dollars right here in Kenya via remote work, right? The difference between you and me is that you are still asleep dreaming big and I am wide awake living my dream. Bado nangoja effidence of you making big dollars and enjoying life…otherwise hio yote umeandika hapo juu ni hekaya za abunuwasi :D:D:D

Dick measuring

patco nimesoma first paragraph ya novel nikachoka but si kwa ubaya nimelewa ntasoma next year asubuhi nikishatomba momo muzeee. Ahsande

Haina worse hata kesho itakuwa. Lakini na bibi umewachia nani na hii baridi? Ama yeye ndio momo mzee?

Patco bana, the cold war ended a long time ago. There is no US VS China Vs Russia. Simply businessmen trying to fill their tummies and finance their lifestyles.
And Turkish people are not Arabs, at least they don’t want to be considered so.

Turkey is an Islamic power not an Arab one.

This mistake is exemplary of what’s wrong with most of your noise here. You either play fast and loose with facts our you’re a poorly informed fucca that can’t stop yapping.

Just like your God Trump who doesn’t have a highschool level grasp of economics and trade but insists on driving that conversation.

hahaha

:smiley: @patco leo umevuta nini? Unachapa jamaa mpaka iImebidi niondokee nisimwagikiwe na damu…kwani kuna ubaya kuishi Kenya na kuwa boss? Kuna watu tulirudi huku na tuko tu sawa.

Thought Arab superpower ni saudis na other oil rich neighbours