Software from Hell

What to do when software refuses to un install… Nimejaribu ujanja zote hadi revo uninstaller lakini imekataa kuflush out of the system kama shoi ya mtu saba…the culprit is nero 10. Keeps telling me to connect but i dnt have keys…msaada majameni.

enda registry utoe keys zote… na file location utoe kila file… but iobit uninstaller hufanya hiyo program ikikwama kujitoa yenyewe…

Nero ni mbaya

Why does Ashampoo get no love?

Ashampoo doesnt have a myriad or burn options like nero…

e.g?

Creating iso files

[SIZE=5]Hio ni kitu haiwezi kosa
[ATTACH=full]96661[/ATTACH] [/SIZE]

You cant manually arrange audio or video files…too… Hio huwa inachukua the decides which comes first to last…then ashampoo does not create that menu with previews of clips… Which is kinda important when sending edited clips with diffrent themes… Or functions…

Hapa ni watu kuuza dvd …ati nero …ashampooo

I’ve always used Ashampoo. Haisumbui hata kidogo.

It does create. iso files.

Shida iko wapi… Bora pesa… Pesa ilikuwa kwa mkono ya peasant wewe kama birrionare cant descriminate kuweka kwa mfuko ukipewa kama change…

I wonder. Been using it since '09.

I’ve used Ashampoo extensively, na inawezekana manually. Otherwise tumia Brasero (linux) Fantastic app; and its FREE…

Mbona kuji shuku na kujitetea…wah! insecure handles…calm your tits…nilikuwa nasema tu hii ni topic wa kuuza madvd.Wewe unakuja na ma peptang na ovacado…hata hauweleweki…
And btw I use daemon tools n i havent used it since windows 10 was launched it could mount isos

Tafuta Iobit Uninstaller kama vile umeambiwa hapo juu…and ikishindwa kuitoa direct,right click on the software u want to uninstall bado in iobit uninstaller and open with regedit, then u can delete the damn software

Ashampoo huwa na DvD authoring options.

Ashampoo any day