Some families/individuals will be filthy rich in Kenya.

Just imagine someone amekuwa Governor 10 yrs akikula pesa ya county na marafiki baadae anachaguliwa kama Cs for like say 5 to 10 yrs kazi nikuchapa madeals ,halafu pia arudi kuwa Governor.jst imagine hiyo gap ya wealth atakuwa amecreate.

Politics is for the rich to grow and protect their wealth , campaigns are a crafty and entertaining way of lying to the ordinary peasants that the rich care about them.

Call those names stop being a coward, mbolea wewe

Joho

Atarudi aje kuwa governor kama ameshaserve 10 years

Constitution Inasema 5 consecutive years that’s 10.baada ya kuserve 10 yrs unafaa uwe out of office for 5yrs then unaweza Rudi kuendelea kama governor

I was watching a YouTube video ya top ten richest families in Kenya and four of the top five ni families wamepata wealth Yao kupitia serikali . Next five years either Saudi or junet wataingia hiyo league while mkamba mjinga @PHARMACY na ghaseer @ChifuMbitika watakuwa wanalia gharama ya Maisha imepanda.

Wacha kunitaja ovyo ovyo kîhîî. I don’t wish to get into your stupid chokoraa stuff

Sorry chifu but hii tabia ya kulamba politicians matako si mzuri. Ruto anataka hiyo kiti so that aingie hiyo ligi ya Moi na biwot

Oparanya Prof. Oparanya. Don’t pretend you forgot just coz his one of ur clansmen. Remember dat…

Huyu jama tayari hua na pesa na sijui biashara gani yeye hufanya

Matiangi ,mutua ,Jayden , kagwi sausages ,

At the end of the day, he can only eat one plate of Nyama choma. Na ata ingia grave na nguo za kikomba. Most of that money will be squandered by his kids and/ or grandkids. Utaskia dependent anajiita we are the Kabogos. But the money is long gone.