Poleni in advance, hii ni hekaya...
Nilipitia apo nje ya somer juzi na nikakumbuka io time nilikua msoto kiasi lakini pia sikua na haja na pesa saana...
So on the material day, beste yangu alikua anafanya kazi highlands ka waiter aliniambia nimgojee tao kiasi atatoa za keg...alikua amepata kamanzi flani kayoung single mother alikua anataka kukamua, so akaniambia nikapatie company before amalize shift....
So, nilikua na 400 kwa mfuko, na nilikua nimeweka kwa kale kamfuko ka jeans kadogo (kanaitwa heri nife). Kufika odeon nikaona siwes lips choo ya kanjo 10 bob, kama odinare wa kawaida nikaingia somer kwa kale ka urinal...
Pale kwa stairs kama kawa ya kutoka 5 pm kulikua na malanye...kuna mmoja specific alikua anaitwa amina, karembo sana io time...so kako apo juu kakanipandishia kamguu kakinihug ati kanataka shot... Mimi saa hiyo nishapeleka mkono mpaka kwa ikusde nkapata hana ngotha, thought process ikawa impaired seconds kadhaa...nikamwambia labda nibuy mtura after nitoke urinal....
Kutoka nikishuka sikukapata kwa stairs nikafurahi sana sitatoa io mbao.
Fast forward nishapatana na colleague's singo matha, nishafikiria tupewe mbili kwa klabu flani ilikua underground (siikumbuki jina). Nishaitisha pilii dame amedai ginoo,waiter akaitisha dough in advance. Kuweka kidole mfukoni nkapata Sina...nikawekwa kwa back pocket zote mbili hakuna...kwa mifuko za mbele hakuna... Nikarudia io process tena Mara ka tatu...
Nikaambia waiter ngoja kiasi tujipange, nikatoka na dame nje nikamshow nimeporwa lakini sikujua aje. It only hit me later that hakuna kitu cha sare kutoka coon guru...ile hug ile time alikua ananicaress makende ile mkono ingine ilikua inajilipa.
Nilicheka sana later nikajua io ilikua karo ya shule ya maisha.
Naonanga watu hapa wakisema vile lanye wanawatambua nacheka sana. Their life doesn't allow for such frivolity as love or respect, coon-guru hafugiki na hawara hana talaka.
Beste yangu io siku coincidentally alilose the job. Tulikunywa izo severance pay (6,000) yote ikaisha io usiku. The only positive thing ya io siku ni ati beste yangu alikamua io singo matha bila kusumbuliwa.