Sometimes

Today i just called like 5 people in a row na hakuna mwenye amechukua simu…sometimes this worries me and pisses me at the same time.

I just had to call my folks atleast simu ichukuliwe na mtu. Also once sometime back i was away on a discovery mission for a week. I was not able to call anyone but could receive calls, dont ask how this works juu ata mimi sijui. Anyway for a whole week only one person made the attempt to call me and one texted me kunijulia hali…one week guys…a bloody week and nobody called to ask how the.black is doing. :mad: apperantly its only me who does the calling.

Yaani the.black anaweza enda missing na watu wasijue for atleast a week???:mad::mad::confused::(:frowning:

Anyway wale nimepigia wakakosa kuchukua sipigi tena hadi wanipigie.

Hope you guys had a great weekend lakini
[ATTACH=full]123781[/ATTACH]
Green leafy suburb!

6 Likes

Mbona hujanipigia? Ningechukua

2 Likes

Hehehehehehe…shows that they got a very low opinion of you, you matter less to them (if at all you do). Sadness of life, but true

5 Likes

Hehehe cheza chini

1 Like

Hehehe ndio naona

1 Like

Hauna marafiki my friend… Ama ni wale waku piga simu Friday iki fika… Tafuta hobby

4 Likes

The smaller the circle the less the stress. [size=“1”] (Haina mwiiano ila sipo hapa kumfurahisha mtu) [/size]
Hivyo ndio unajua the ones who only come at you when they have needs or are bored. Heri hiyo tranquility kushinda back to back calls that don’t even help you. Unaanza kushangaa ulipatana na watu wengine aje.

Ama maybe shida ni wewe. If you invest your time in most people they’ll pay in kind. Ama namna gani?

9 Likes

They are tired of talking about tissue bargains every time you call them.

7 Likes

Kawaida don’t call guys for small talk but kuna watu siku ikiisha bila kuongea nawao napatana na kesi kubwa

2 Likes

Usijali brathe. I only talk to one person all week and if I’m with that person, simu yangu hailiangi. Not unless ni email inaingia.

2 Likes

Inakaa wewe ni mtu umependa kukopa kopa. Watu wakiona simu yako wanajua tu huyu anataka tu kuniomba pesa.

13 Likes

Nice view

1 Like

Ngati wewe

I am the master of hobbies bana

But seriously mimi ni mtu napenda watu sana. Shida ni ati they call me wakiwa na shida ama kama wamebeoka. Na sina deni la mtu @mathais

What happened to your bike?
I used to enjoy following you around on your cycle trips around Nairobi.
Get back on your bike wachana na binadamu, walimshinda Nabii Musa.
“One thing you can count on with people is that they will Fuck you up! They never disappoint.
Learn to love yourself.” - Mhenga @Ka-Buda 2017

5 Likes

@The.Black.Templar that is all too familiar.

1 Like

:D:D Hapa hujaambiwa poa na @Mathice. Kama ni ukweli anza kulipa madeni on time…na unawarushia katissue ka bonus…

3 Likes

Tafuta bibi

Hehehe lakini mimi sio suicidal. I got plans of going to Amsterdam bana. Nakumbukanga ile ndege iliniwacha machoz inaanza kutoka :(:mad: