Son Writes his Father a touching letter

Panyaste★

Village Sponsor
#1
D_dyMW-X4AAqLMH.jpeg

Dear baba, ni mimi your son Clichy hapa. Baba tumevumilia ya kutosha. Umekuwa ukitutesa sana. Punda amechoka sasa.

Baba kila siku unakuja nyumbani kama umelewa ya kupindukia. Mdomo inanuka nyama na pombe lakini mkono imebeba sukuma wiki na unga ya ugali alafu unasema vile maisha imekuwa ngumu. Mama akisha pika hio ugali na sukuma kavu wewe huwa hata haukuli juu ulikula kwa bar pamoja na malaya wako.

Baba umetuaibisha sana kwa ploti. Kila siku unakuja ukiwa mlevi while shouting unprintable words. Aibu gani hizi baba.

Kuna siku fulani kuna mtu mmoja ambaye alikuwa amevaa Adidas juu chini alikuja kukutafuta akuchape juu ulikuwa na deni yake. Bahati haukuwa lakini akachungulia ndani akapata tunaishi in poverty.

Akaona huruma akatubeba Sisi wote alatupeleka outing sonford n chips akanunua kuku na chips tukakuja nazo nyumbani. Akasema amekusamehea ile deni.

Baba I dont feel like am your son anymore. This is too much.

Signed Clichy.


Later on after the father read the letter
rps20190717_161310.jpg
 

Top