Song of the day for watoto wa Urtna :Wes- Alane

https://www.youtube.com/watch?v=3gl5OEZ8j_o

Hio wimbo sio ya urtna times… siku za kukula Chapo on Saturday.

https://www.youtube.com/watch?v=-X76sjDVwd8

Hii ni ya wakati wa Obach Machokaa Music time.

https://www.youtube.com/watch?v=bJNiMNUSrw8

Barikiwa sana… I have looked for this song for more than 20 years. Always thought ni ya Youssou Ndou so that was throwing me off nikitafuta…

we used to sing in kikuyu…maya ni marigu maake, kamande,tumaarie

Hii ni ya juzi wakati wa BIG Top 40.

Ya Machoka ya vijana kaa kando, wamama kaa kando, wazee take position ndio hii

Pamoja na hii

Ndio hii ingine ya vijana kaa kando, wamama kaa kando, wazee take position